Author : Rehema Jonathan

Neno hili I.N.R.I ni maneno ambayo katika baadhi ya picha nyingi za Bwana Yesu ambapo alikuwa msalaba, limeonekana neno hili, lakini ukisoma katika maandiko neno hilo huwezi kuliona Tusome Yohana 19 19 Naye Pilato akaandika anwani, akaiweka juu ya msalaba, imeandikwa, YESU MNAZARETI, MFALME WA WAYAHUDI. 20 Basi anwani hiyo waliisoma wengi katika Wayahudi; maana ..

Read more

MASUKE NI NINI? Masuke ni ile sehemu ya nafaka inayotoa ua na mbegu ndani yake, Kwamfano Ngano suke lake linachipuka kwa pale juu, na nafaka kama mahindi suke lake ndio lile linalochipukia hindi lenyewe. Lakini nafaka yote sio suke, wala hindi lote sio suke, bali ile sehemu inayotoa mbegu au ua au tunda ndio inaitwa ..

Read more

Je nyuni ni nini kama tusomavyo katika maandiko Nyuni ni neno linalomaanisha ndege. Baadhi ya vifungu katika biblia vinavyolitaja neno hilo; Zaburi 102:5 “Kwa ajili ya sauti ya kuugua kwangu Mifupa yangu imegandamana na nyama yangu. 6 Nimekuwa kama mwari nyuni wa jangwani, Na kufanana na bundi wa mahameni”. Sefania 2:14 “Na makundi ya wanyama ..

Read more