Author : Rehema Jonathan

Neno hili kujuza maana ya yake ni kutoruhusiwa 3 Nami namjua mtu huyo, (kwamba alikuwa katika mwili sijui; kwamba alikuwa nje ya mwili sijui; Mungu ajua  4 ya kuwa alinyakuliwa mpaka Peponi, akasikia maneno yasiyotamkika, ambayo haijuzu mwanadamu ayanene” Hivyo hapo tunaona mitume Paulo, akieleza katika Maono yake jinsi alivyopelekwa juu mbingu ya tatu, lakini ..

Read more

Kuhusuru ni kitendo cha kuzingira kitu pande zote, kisiwe na mpenyo wa kutoroka au kupita Na mbinu hizi mara nyingi zilitumika katika kipindi cha agano la kale, majeshi ya zamani wakati wa vita, walikuwa wana hususuru kwanza (kuzingira) maadui zao kabla hawajapigana ili wakose mpenyo au nafasi ya kuweza kutoka, na hii ilikuwa inachukua hata ..

Read more

Shalom!. Mwandamo wa mwezi(mwezi mpya) kijiografia katika kipindi hiki mwezi unakuwa katikati ya Dunia na Jua. Nusu ya mwezi inakuwa haipati mwanga wa jua. Sasa katika Agano la Kale mwezi mpya unapoanza yaani siku ya kwanza ya mwezi kwa Wayahudi ilikuwa ni siku Takatifu ambayo Bwana aliagiza hivyo kwa wana wa Israeli na kuna mambo ..

Read more

Nyamafu ni mnyama aliekufa bila kuchinjwa au aliekufa kwa kularuliwa na mnyama mwingine(kama simba kumlarua nyati.) Yaani kitu chochote Chenye uhai kilichokufa kibudu bila kuchinjwa. Katika Agano la Kale Mungu aliwakataza wana wa Israeli kula nyamafu, yaani wasile mnyama wana aina yoyote aliekufa bila kuchinjwa maana wakifanya hivyo watajitia unajisi mbele za Mungu. Walawi 17: ..

Read more

Bwana wetu Yesu Kristo atukuzwe,Karibu katika kujifunza maneno ya uzima Gombo ni aina ya vitabu ambavyo vipo katika namna ya kuviringishwa, kwa lugha ya kiingereza vinatambulika kama “Scrolls” Aina ya hii ya vitabu ilitumika sana katika karne za nyuma na vilikuwa ni vitabu vya aina ya ngozi. Lakini kwa wakati wetu wa sasa havitumiki tena ..

Read more

Jina la Bwana wetu Yesu kristo litukuzwe . Karibu mwana wa Mungu katika kujifunza Neno la Mungu Je makanda ni nini? Makanda ni kwa jina /neno jingine ni (KAPU). Ambacho hutumika kuweka au kubebea vitu tofauti tofauti sana sana vyakula au nafaka. Katika maandiko Neno hili unaweza ukakutana nalo katika vifungu kadha wa kadha, mfano ..

Read more

Neno hili novena chimbuko lake limetoka katika lugha ya kilatini linaandikwa “Novem” ikiwa na maana ya tisa(9).Na baadhi ya madhehebu mfano katoliki na Orthodox, wamelichukua neno hili na kulitumia katika aina fulani za sala ambazo ni mfufulizo Kwa kipindi cha siku tisa Na sala hizo huwa kwaajili ya kuomba jambo fulani au kushukuru kwa kipindi ..

Read more

Jambo hili tunaliona katika kitabu cha zekaria 3:2 Yoshua akiambiwa Yeye ni kinga kilicho tolewa motoni, hiyo kinga ilikuwa ni kitu gani? Kinga ni kama kijiti, kwahiyo tunaposema kinga Cha moto, inamaanisha kijiti Cha moto, na habari hii tunaipata Kwa Yoshua aliyekuwa kuhani mkuu wakati pale alipokuwa amesimama mbele za Mungu tunaona wakati huo na ..

Read more

Huyu Azazeli ni Nani tunayemsoma katika walawi 16:8? Mambo ya Walawi 16:8[8]Na Haruni atapiga kura juu ya wale mbuzi wawili; kura moja kwa ajili ya BWANA; na kura ya pili kwa ajili ya Azazeli. Tukiangalia Kwa ufupi habari hii, katika Mambo ya walawi Sura ya 16, tunaona kwamba katika siku ya upatanisho wa Wana wa ..

Read more

Karibu tujifunze neno la Mungu wetu. Mjoli ni mfanyakazi mwenza, mfano Mwana kwaya akikutana na mwanakwaya mwenzake hapo ni sawa na kusema kakutana na mjoli mwenzake, vivyo hivyo Mwalimu akikutana na Mwalimu mwenzake hapo kakutana na mjoli wake, Mkulima akikutana na mkulima mwenzake hapo Mkulima ni sawa tu na kusema kakutana na mjoli wake. Hivyo ..

Read more