Author : Rehema Jonathan

Bwana wetu Yesu Kristo na Asifiwe sana. Ukisoma kitabu cha  Mithali 26:2 ili maanisha nini? “Kama SHOMORO katika kutanga-tanga kwake, Na kama mbayuwayu katika kuruka kwake; Kadhalika laana isiyo na sababu haimpigi mtu.” Jibu: Laana zisizo na sababu Mungu anazifananisha na Shomoro au ndege wanao Tanga-tanga angani. Jamii mbalimbali za ndege huonekana angani kila siku ..

Read more

Shalom, tusome pamoja katika kitabu cha Isaya 54:16 Isaya 54:16 “Tazama, nimemwumba MHUNZI avukutaye moto wa makaa, akatoa silaha kwa kazi yake; nami nimemwumba mharibu ili aharibu” Mhunzi au wahunzi wanaozungumziwa hapa ni wanaofua vyuma, fedha, shaba, au Dhahabu. Ikimaanisha wanaviyeyusha vyuma au madini husika katika maumbo mbalimbali kutengeneza silaha au Urembo. Sasa utofauti kati ..

Read more

Bwana Wetu Yesu Kristo na Asifiwe. tusome.. Mwanzo 36:15 “Hawa ndio MAJUMBE wao wana wa Esau; wana wa Elifazi, mzaliwa wa kwanza wa Esau; JUMBE Temani, JUMBE Omari, JUMBE Sefo, JUMBE Kenazi, 16 JUMBE Kora, JUMBE Gatamu, jumbe Amaleki. Hao ndio MAJUMBE, waliotoka kwa Elifazi katika nchi ya Edomu. Hao ni wana wa Ada”. JUMBE ..

Read more

Nakusalimu katika Jina la Bwana wetu Yesu Kristo. Swali: tunajifunza habari ya WAKRETE kwamba walikuwa ni WAONGO, na walishuhudiwa na nabii wao! JE? Walidanganya Nini na ni nani basi huyo nabii wao? Jibu: WAKRETE ni Jamii ya watu wanaoishi katika visiwa vya krete huko Ugiriki. Mtume Paulo anaandika waraka kwa Tito dhidi ya kanisa na ..

Read more

Bwana wetu Yesu Kristo na Asifiwe sana.  Habari hizi utazipata katika ule utabiri wa Yakobo juu ya watoto wake, alipokuwa akiwabariki, tunaona anapofikia kwa Dani anasema Dani yeye atakuwa BAFE. Sasa JE? Ni nani huyo BAFE? Turejee.. Mwanzo 49:17″ Dani atakuwa nyoka barabarani, BAFE katika njia, Aumaye visigino vya farasi, Hata apandaye ataanguka chali. 18 ..

Read more

Kumbukumbu 28:22 “Bwana atakupiga kwa kifua kikuu, na kwa homa, na kwa kuwashwa, na kwa hari ya moto, na kwa upanga, na kwa UKAUFU, na kwa KOGA; navyo vitakufukuza hata uangamie” Swali: kutokana na Andiko hilo Je! Ukaufu ni Nini? Na koga ni Nini? Ukaufu ni ugonjwa wa mazao unaotokana na fangasi,na kuleta utandu. Linapopata ..

Read more

  Nakusalimu katika Jina la Bwana Yesu Kristo. SAKITU ama kwa lugha ya kiingereza “Frost”. Ni barafu iangukayo kutoka juu ifunikayo uso wa ardhi, mimea n.k hasa katika nchi au maeneo yenye baridi Kali. tusome..Ayubu 38: 29 “Barafu ilitoka katika tumbo la nani? Na SAKITU YA MBINGUNI ni nani aliyeizaa? 30 Maji hugandamana kama jiwe, ..

Read more

Nakusalimu katika Jina la Yesu Kristo. Warumi 8:34 “Ni nani atakayewahukumia adhabu? Kristo Yesu ndiye aliyekufa; naam, na zaidi ya hayo, amefufuka katika wafu, naye yuko mkono wa kuume wa Mungu; TENA NDIYE ANAYETUOMBEA.” Ni dhahiri Bwana wetu Yesu Kristo ndiye Anayetuombea, soma Tena.. 1 Yohana 2:1 “Watoto wangu wadogo, nawaandikia haya ili kwamba msitende ..

Read more

Shalom, karibu tujifunze Maneno maneno ya Uzima.   Mithali 27:18 “ Yeye autunzaye mtini atakula matunda yake; Naye amhudumiaye bwana wake ataheshimiwa. “ Kuna Jumbe mbili za muhimu sana katika mstari huu navyo ni Autunzaye mtini atakula MATUNDA yake, pili ni Amhudumiaye bwana wake ataheshimiwa. 1. AUTUNZAYE MTINI ATAKULA MATUNDA YAKE  Injili imeandikwa; si kwenye ..

Read more

Shalom, Nakusalimu katika Jina la Bwana wetu Yesu Kristo. Yohana 12:35 ” Basi Yesu akawaambia, Nuru ingaliko pamoja nanyi muda kidogo. Enendeni maadamu mnayo nuru hiyo, giza lisije likawaweza; maana aendaye gizani hajui aendako.” Jibu: katika maisha yake hapa duniani Bwana Yesu alijilinganisha na Nuru ya Ulimwengu huu(Jua); na alisisitiza hili sana katika mafundisho yake, ..

Read more