Libarikiwe Jina la Bwana wetu Yesu Kristo. 1 Wakorintho 2:2 “Maana naliazimu nisijue neno lo lote kwenu ila Yesu Kristo, naye amesulibiwa.” Haya yalikuwa ni maneno ya waraka wa mtume Paulo kwa kanisa la Korintho. Kwa lugha rahisi zaidi tuyaweke hivi.. “Nilipokuja kwenu ninyi Wakorintho Nalikusudia kufahamu yale mnayoyajua kuhusu YESU KRISTO ambaye amesulibiwa! si ..
Author : Rehema Jonathan
Mhubiri 10:15 “Kazi yao wapumbavu huwachosha kila mmoja, Maana hajui hata njia ya kuuendea mji.” Kama tunavyojua ni wazi kuwa Kila mtu anatamani kuishi mjini kuliko mashambani; Hii ni kwa sababu mjini kuna huduma zote kwa urahisi zaidi, pia ni mahali pa raha kiasi kwamba watu hufanya kazi zao mashambani ili wakaziuze mijini, kadhalika nakufaidi ..
Jina la Bwana wetu Yesu Kristo na libarikiwe sana. Swali: Tunasoma unabii juu ya masihi (katika Isaya 53:12) kwamba atagawiwa sehemu pamoja na Wakuu.. Sasa JE Wakuu hao ni akina nani? Na ni sehemu gani watagawiwa pamoja? Jibu: tusome.. Isaya 53:12 “Kwa hiyo nitamgawia sehemu PAMOJA NA WAKUU, Naye atagawanya nyara pamoja nao walio hodari; ..

Swali: Neno la Mungu katika mhubiri 9:16 linasema hekima ya maskini haisikilizwi. JE na sisi tunapaswa kupuuzia mashauri au hekima za watu maskini? Kama si hivyo, basi Hilo andiko Lina maana Gani? Jibu: tusome tena.. Mhubiri 9:16 “Ndipo niliposema, Bora hekima kuliko nguvu; walakini hekima ya maskini hudharauliwa, wala maneno yake hayasikilizwi.” Tunaposoma andiko hilo ..
Shalom, karibu tujifunze Maneno ya Uzima. Isaya 55:13 “Badala ya michongoma utamea MSUNOBARI, Na badala ya mibigili, mhadesi; Jambo hili litakuwa la kumpatia Bwana jina, Litakuwa ishara ya milele isiyokatiliwa mbali.” Misunobari ni miti Jamii ile ile na Mierezi. Na tofauti kati ya miti hii miwili ni kwamba misunobari huwa haiwi mirefu kama Mierezi, na ..
Nakusalimu katika Jina la Bwana wetu Yesu Kristo. Mithali 27:22 “Hata ukimtwanga mpumbavu kwa mchi kinuni pamoja na ngano; Upumbavu wake hautamtoka.” Kwanza kabisa tujue maana ya kinu na mtwangio; hivi ni vyombo vinavyotumika kuponda au kusaga nafaka laini kuwa unga mfano mahindi na ngano. Au wakati mwingine mimea migumu kuwa laini mfano kisamvu hupondwa-pondwa ..
Bwana wetu Yesu na asifiwe. Awali ya yote kabisa, ili kupata maana sahihi ya ndoto yako na kuepuka udanganyifu wa tafsiri za ndoto, unapaswa ujue aidha ndoto yako inadondokea kundi Gani kati ya haya matatu 1. Ndoto zinazotokana na Mungu 2. Ndoto zinazotokana na Shetani 3. Ndoto zinazotokana na Mtu mwenyewe (Shughuli, kazi, mazingira yanayomzunguka ..
Nakusalimu katika Jina la Bwana wetu Yesu Kristo. Tupende kukupa tahadhari Mtu wa Mungu dhidi ya upotovu na mafundisho ya kuhusu tafsiri za ndoto. Ukikosa tafsiri sahihi za ndoto zako kimaandiko, wengi wamejikuta wakijitenga na imani na kuanza kuziangalia ndoto zao kama dira ya maisha yao kama ilivyotabiriwa na mtume Paulo (soma 1 timothy 4:1) ..
Shalom. Karibu tujifunze Biblia JIBU: Kwa majibu turejee katika Maandiko Wafilipi 3:2 ” Jihadharini na mbwa, jihadharini na watendao mabaya, jihadharini na wajikatao.” Hapa tunakutana na makundi matatu hatari ya kujihadhari nayo “Mbwa” pili “Watendao mabaya” tatu ” Wajikatao” Sasa tutalitazama kila kundi kati ya haya tukianza na makundi mawili ya mwisho [Kundi la Kwanza]”Watendao ..
Jina la Bwana wetu Yesu Kristo libarikiwe. Karibu Tuyatafakari pamoja Maandiko Suala la utafsiri wa ndoto limekuwa suala mtambuka sana. Na kwa bahati mbaya wengi wanakosa tafsiri za ndoto zao, hasa kulingana na Maandiko. Ni vyema kabla hujatafuta tafsiri ya ndoto yako uyajue makundi haya matatu ya ndoto Ambayo ni Ndoto zinazotokana na Mungu, zinazotokana ..