Author : Rehema Jonathan

Jina la Mwokozi wetu Yesu lisifiwe, Karibu the jifunze neno lake lililobeba uzima ndani yake… Swali: Je huu mti wa mvinje ulikuwa ni mti gani? Jibu: Kulingana na maandiko mti huu tunausoma katika habari ya Nuhu baada ya Mungu kumpa maagizo atengeneze safina kwa kutumia mti huu wa mvinje Mwanzo 6:13-14 [13]Mungu akamwambia Nuhu, Mwisho ..

Read more

Nakusalimu kupitia Jina la Yesu, ndugu Karibu katika kipindi kingine ili tuweze kutafakari maneno ya uzima…   SWALI: Je kutokana ni kile alichokifanya sulemani, kufanya kosa la kuwajengea miungu madhabahu, baada ya kushawishiwa na wake zake,.sasa kupitia jambo hili sulemani hakusamahewa kabisa hiyo dhambi 1 Wafalme 11:4-9 [4]Maana ikawa, Sulemani alipokuwa mzee, wake zake wakamgeuza ..

Read more

Shalom karibu tujifunze maneno ya uzima yatokayo kwa Bwana wetu Yesu Kristo. Kulingana na neno la Bwana kutoka katika maandiko haya Mathayo 12:24 [24]Lakini Mafarisayo waliposikia, walisema, Huyu hatoi pepo, ila kwa Beelzebuli mkuu wa pepo. Hivyo maana ya beelzebuli ni mkuu wa Pepo pia tujifunze zaidi katika neno hili la Mungu ili tupate maana ..

Read more

Karibu tujifunze maneno ya uzima kutoka kwa Mwokozi wetu Yesu Kristo. Mwanzo 4: 16 “Kaini akatoka mbele za uso wa Bwana, akakaa katika nchi ya Nodi, mbele ya Edeni. 17 Kaini akamjua mkewe; naye akapata mimba, akamzaa Henoko; akajenga mji akauita Henoko, kwa jina la mwanawe”. Henoko hakuandikwa kuwa ni mtoto wa kaini na hakuondoka ..

Read more

Jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo litukuzwe, nakukaribisha katika wakati mwingine tena wa kujifunza neno la Mungu. Swali: Je haya maneno mawili Kushuhudia na Kuhubiri yapo na utofauti Jibu: Ndiyo kuna tofauti katika maneno haya japo yanategemeana, tuangalie maana ya kushuhudia ni nini, kushuhudia limetokana na neno shuhuda, mfano mtu aone jinsi mtoto mdogo alivyo ..

Read more

Bwana Yesu asifiwe, nakusalimu kwa jina la Mwokozi Yesu, karibu katika kujifunza Jibu: Hakuna kosa lolote walilolifanya wana wa Israeli, lililowafanya wakae utumwani miaka hiyo mia nne, lakini lipo jambo ambalo tutajifunza je ni kitu gani kilichopeleka wakae utumwani miaka mingi huko misri Mambo yaliyofanya Mungu awaache wana wa Israeli utumwani miaka 400, yalikuwa ni ..

Read more

Shalom karibu tujifunze maneno ya uzima kutoka kwa Bwana wetu Yesu Kristo. Turejee maandiko haya Mwanzo 24:67 “Isaka akamwingiza Rebeka katika hema ya mama yake, Sara, akamtwaa Rebeka, akawa mkewe, akampenda; Isaka akafarijika kwa ajili ya kufa kwa mamake”. Isaka alikuwa ni mwana pekee kwa mama yake, kwahiyo  hili andiko halikumaanisha kuwa  isaka alipenda na ..

Read more

Jibu :Hairuhusiwi kupokea pesa kutoka  kwa mtu wa namna hiyo kwa kuwa katika ulimwengu wa Roho inaonekana na kuthibitika kuwa umeshiriki kufanya kazi haramu iliyopelekea kupata hicho kiasi cha pesa. Tunaweza kurejea maneno ya uzima ambayo yatatupatia mwangaza juu ya hii ibada. Luka 6:43 “Kwa maana hakuna mti mzuri uzaao matunda mabaya, wala mti mbaya ..

Read more

Nakusalimu kupitia jina la Mwokozi Hili limekuwa swali kwa kila mwamini, kwanini tunatubu kila siku, na wakati Kristo mwokozi wetu alizibeba dhambi zetu zote, Tusome 1Petro 2:24 “Yeye mwenyewe alizichukua dhambi zetu katika mwili wake juu ya mti, tukiwa wafu kwa mambo ya dhambi, tuwe hai kwa mambo ya haki; na kwa kupigwa kwake mliponywa”. ..

Read more

Shalom karibu tena katika kujinza neno la Mungu Wagalatia 2:3 “Lakini Tito aliyekuwa pamoja nami, naye ni Myunani, hakulazimishwa kutahiriwa. 4 BALI KWA AJILI YA NDUGU ZA UONGO WALIOINGIZWA KWA SIRI; AMBAO WALIINGIA KWA SIRI ILI KUUPELELEZA UHURU WETU TULIO NAO KATIKA KRISTO YESU, ILI WATUTIE UTUMWANI; 5 ambao hata saa moja hatukujitia chini yao, ..

Read more