Author : Rehema Jonathan

Hori ni nini? Hori ni mahali palipotengwa kwa ajili ya ng’ ombe kulia chakula. Maneno haya tunasoma katika maandiko haya ya Mungu ili tupate maana zaidi. Luka 2:7 “akamzaa mwanawe, kifungua mimba, akamvika nguo za kitoto, akamlaza katika hori ya kulia ng’ombe, kwa sababu hawakupata nafasi katika nyumba ya wageni”. Pia maana nyingine ya hori ..

Read more

Maana halisi ya konzi Ni kipimo chenye ujazo wa kukaa mkono mmoja wa mwanadamu. Tujifunze zaidi katika maandiko haya yaliyo ainishwa hapa sawa sawa na maandiko ya Bwana yanavyosema. Mithali 30:4 “Ni nani aliyepanda mbinguni na kushuka chini? Ni nani aliyekamata upepo kwa makonzi yake? Ni nani aliyeyafunga maji ndani ya nguo yake? Ni nani ..

Read more

Vitimvi ni nini kama ilivyotumika katika biblia? Ni mipango inayopangwa na kikundi cha watu kwa lengo la kuvurugwa, kuharibu, au kutenda ubaya kwa mtu au watu ili kuitimiza mikakati na makusudi waliyonayo juu ya huyo mtu. Baadhi ya watu hukutana ili kufanya ubaya kwa mtu kwa lengo la kudhulumu mali alizonazo, kulipiza kisasi kwa ubaya ..

Read more

Ni sehemu ya mwisho iliyo katika mkono wa mwanadamu inayotumika kusaidia kushika au kubeba vitu au kitu. Au Ni sehemu ya mwisho mkononi iliyounganika na kuacha za mwanadamu au mnyama. Hebu tujifunze katika maneno ya Mungu ili tupate maana iliyo Bora zaidi. Danieli 5:24-25 [24]Ndipo kile kitanga cha ule mkono kikaletwa kutoka mbele zake, na ..

Read more

Fumbi ni kijito kibibujikacho maji yatokayo katika chemchemi iliyo katika hiyo chamchela.Pia kijito cha Maji ni Mungu mwenyewe kama alivyosema kuwa yeye mti pia ni maji ya uzima yawezayo kukata kitu ya kutenda maovu na maasi mbele za Muumba wetu. Hivyo unaweza kushuhudia kuwa kabla ya kuokoka mtu alikuwa mlevi au mvutaji wa sigara lakini ..

Read more

Chamchela ni upepo mkali unaovuma kwa Kasi kiasi cha kupeperusha na kuzoa kila kitu kwa muda mfupi yaani kisulisuli. Tunaweza tukajifunza zaidi na kupata maana iliyo Bora zaidi katika neno la Mungu ambalo ni hili. Zaburi 58:9 “Kabla ya masufuria yenu kupata moto wa miiba, Ataipepeiliyorusha kama chamchela, Iliyo mibichi na  moto. ” Isaya 29:5 ..

Read more

Marijani Ni vitu vya rangi ya samawi, au ni vitu vya thamani vilivyokuwepo katika ufalme wa Israeli. Tusome maandiko ili tujifunze zaidi. Ayubu 28:17 “Dhahabu na vioo haviwezi kulinganishwa nayo; Wala kubadili kwake hakutakuwa kwa vyombo vya dhahabu safi. 18 Havitatajwa fedhaluka wala bilauri; Naam, kima cha hekima chapita marijani”. Maombolezo 4:7 “Wakuu wake walikuwa ..

Read more

Bwana Yesu asifiwe nakusalimu kupitia Jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo, karibu katika kujifunza Neno hili Maavya ni neno au tunaweza kusema kwa lugha nyepesi kuwa ni cheo cha mtu, mfano mama, baba, mjomba nk.. kwahiyo maana halisi ya neno hili limaanisha ” mama mkwe” Neno hili tunalipata katika kitabu cha Mika 7:6 “Kwa maana ..

Read more

Tusome 1 Mambo ya Nyakati 9:1 [1]Hivyo Israeli wote walihesabiwa kwa nasaba; na tazama, hizo zimeandikwa katika kitabu cha wafalme wa Israeli; na Yuda wakachukuliwa mateka mpaka Babeli, kwa sababu ya makosa yao. Nasaba maana yake ni orodha au mfufulizo wa majina ya watu, ambayo yanakuwa yamejumuisha orodha ya watu watu wote walio katika ukoo ..

Read more

Jabari ni mtu shujaa asiyeshindwa na jambo lolote pia ni mtu anayejiamini kwa asilimia kubwa sana katika kila alifanyalo na ni mtu hodari sana katika jambo hilo jema au baya alifanyalo. Tusome maandiko ili tupate kujifunza zaidi. Isaya 49:24 “Je! Aliye hodari aweza kunyang’anywa mateka yake, au jeshi lao waliofungwa halali wataokoka? 25 Naam, Bwana ..

Read more