Author : Rehema Jonathan

Bwana Yesu asifiwe Katika Kifungu hiki baadhi ya mafundisho au tafsri mbalimbali za watumishi hualalisha unywaji wa pombe kuwa ni sawa tu kulingana na hiki kifungu, Je jambo hili lina ukweli ndani yake tusome 1Wakorintho 11:21 “kwa maana kila mmoja hutangulia kutwaa chakula chake katika kule kula; hata huyu ana njaa, na huyu AMELEWA. 22 ..

Read more

Shalom karibu tujifunze maneno ya uzima yatokayo kwa kristo mfalme. Maskini Hutumia maombi pale anapohitaji kazi au jambo fulani.japo wapo matajiri wanaojisongeza mbele za bwana na kujishusha pale wanapokumbana na shida na taabu zinazotawala katika maisha yako huweza kujishusha kwa Mungu na muda mwingine kwa wanadamu pia. Pia wapo matajiri wasioweza kujishusha kwakuwa Wana kiburi, ..

Read more

Shalom karibu katika kujifunza Neno la Mungu Tutajifunze kwa mfano huu ambao ni wa kawaida tu katika maisha yetu ya kila siku, kwa mtu anayetumia kwa ajili mawasiliano, lakini huwa unafika mda, hawa watu wa mitandaoni, wana toa ofa kwa wateja wao Lakini japo huwa wanatoa ofa, lakini huwa wanaweza mda wa mwisho kutumia ofa ..

Read more

Nakusalimu katika  jina la Mwokozi wetu Yesu karibu tujifunze neno la Mungu .. Tusome [2]Tajiri na maskini hukutana pamoja; BWANA ndiye aliyewaumba wote wawili. Jambo tunanalopaswa kufahamu wanadamu wote waliopo duniani, aliyewaumba ni Mungu tu, hakuna mwanadamu ambaye amejiweka mwenyewe hapa Duniani, kwahiyo hata haya makundi mawili ya tajiri na maskini yote ni Mali ya ..

Read more

Shalom karibu tujifunze maneno ya uzima yatokayo kwa Mungu muumba wetu. Neno la Bwana linasema. Ufunuo 1: 17 “…Usiogope, Mimi ni wa kwanza na wa mwisho, 18 na aliye hai; nami nalikuwa nimekufa, na tazama, ni hai hata milele na milele. Nami ninazo funguo za mauti, na za kuzimu”. Alimaanisha kuwa hizo funguo Yesu hakuwa ..

Read more

Tusome Kutoka 20:4“Usijifanyie sanamu ya kuchonga, wala mfano wa kitu cho chote kilicho juu mbinguni, wala kilicho chini duniani, wala kilicho majini chini ya dunia”. 5 Usivisujudie wala kuvitumikia; kwa kuwa mimi, Bwana, Mungu wako, ni Mungu mwenye wivu; nawapatiliza wana maovu ya baba zao, HATA KIZAZI CHA TATU NA CHA NNE CHA WANICHUKIAO, 6 ..

Read more

Jina la Mwokozi wetu libarikiwe, karibu tena katika kujifunza Neno la Mungu.. Jibu; Hapana hakuna tofauti yeyote katika maneno haya mawili, lakini yana maana moja, na tafsiri ya jina hili ni “paradiso ya raha” hivyo maneno haya hayana tofauti yeyote Ukisoma baadhi ya vifungu katika biblia utakutana na maneno haya mawili, Edeni na Adeni Tusome ..

Read more

Karibu mpendwa tujifunze maneno ya uzima yatokayo kwa Bwana wetu yesu kristo. Je? Wanadamu wa kwanza aliowaumba Mungu walikuwa wana namna gani? Walikuwa wa rangi gani? Ni vyema tufahamu maandiko hayajaeleza shemeu yoyote kuwa mtu wa kwanza alikuwa mzungu,mwafrika,Mwarabu nk lakini aliumba watu wawili pale Edeni ambao ni Adamu na Hawa nao walikuwa ni jamii ..

Read more

Nakusalimu kupitia jina la Mwokozi lenye nguvu, karibu tena katika kujifunza Neno la Mungu .. Turejee Mithali 16:1 [1]Maandalio ya moyo ni ya mwanadamu; Bali jawabu la ulimi hutoka kwa BWANA. Hapa aliposema maandalio ya moyo ni ya mwanadamu, ni kwamba Mungu amempa kila mwanadamu mamlaka au nguvu ya kupanga mipango yake mwenyewe vile anavyotaka ..

Read more

Shalom mpendwa karibu tujifunze maneno Bwana ya uzima. Neno la Bwana linasema Warumi 1:28 “Na kama walivyokataa kuwa na Mungu katika fahamu zao, Mungu aliwaacha wafuate akili zao zisizofaa, wayafanye yasiyowapasa. 29 Wamejawa na udhalimu wa kila namna, uovu na tamaa na ubaya; wamejawa na husuda, na uuaji, na fitina, na hadaa; watu wa nia ..

Read more