Category : Biblia kwa kina

BIDII YA EZRA Shalom Mwana wa Mungu, karibu tujifunze biblia. Kumbuka biblia kwa sehemu kubwa inaelezea historia ya maisha ya watu kadha wa kadha waliowahi kutokea ili tujifunze kwao yale mazuri. Kwahiyo usomapo habari za akina Nuhu, Ibrahimu, Sara, Musa, Yusufu, Ruthu, Daudi, Ayubu, Danieli, Paulo, Yohana, Mariamu na wengineo usisome tu kama hadithi ya ..

Read more

Jihadhari usipoteze nafasi ya kuingia mbinguni. (Sehemu ya kwanza) Ni vizuri tufahamu kuwa sio watu wote wanaojulikana kama wakristo wataingia mbinguni! Ni wale tu waliokuwa waaminifu mpaka mwisho ndio watakaongia katika ile mbingu mpya na nchi mpya. Na tunaingia tu kwa neema, lakini ni vizuri tuelewa mapema kuwa hii neema sio kama tunavyodhania kuwa tukishaokolewa ..

Read more

Huu sio wakati utupasao kuja! Katika ukristo ogopa sana ile kauli ya kusema “Huu si wakati”… “Bado kidogo”…. “Wakati wake utafika tu siku moja”… Ogopa sana kauli kama hizo, tena ziogope kuliko ukoma. Mara nyingi watu wengi wanapoangalia mazingira Fulani, wanaona kama vile wakati wake bado, pale mtu unapomuambia biblia inasema “saa ya wokovu ni ..

Read more

IKO HATUA MOJA TU KATI YA MIMI NA MAUTI 1Samweli 20:3 “Daudi akaapa, akasema, Baba yako anajua sana ya kuwa nimeona kibali machoni pako, naye asema, Yonathani asilijue neno hili, asije akahuzunika; lakini ni kweli, aishivyo BWANA, na iishivyo roho yako, IKO HATUA MOJA TU KATI YA MIMI NA MAUTI”. Ujumbe huu unakuhusu wewe ambaye ..

Read more

Nini maana ya kuhesabiwa haki kwa imani? Nakusalimu katika jina la Mwokozi wetu Yesu karibu tuyatafakari maneno ya uzima ya Mwokozi wetu Yesu Kristo. Kama Wakristo ni Muhimu sana kuelewa jambo hili sio katika akili zetu tu basi likawa kama taarifa fulani tu ambayo tunaifahamu maandiko yanasema hivyo lakini jambo hili ni msingi dhabiti sana ..

Read more

TU UZAO WA IBRAHIMU Yohana 8:33 “Wakamjibu, Sisi TU UZAO WAKE IBRAHIMU, wala hatujawa watumwa wa mtu wakati wo wote; nawe wasemaje, Mtawekwa huru?.” Je! we ni mzao wa Ibrahimu? Uzao wa Ibrahimu ni upi? Uzao wa Ibrahimu ni uzao wa YESU KRISTO, kulingana na kuwa Yesu Kristo ndiye aliyebeba ahadi za Mungu kwa Ibrahimu. ..

Read more

TU WASAFIRI HAPA DUNIANI. 1Mambo ya Nyakati 29:15 “Kwani sisi tu wageni mbele zako, NA WASAFIRI, KAMA WALIVYOKUWA BABA ZETU WOTE; ni kama kivuli siku zetu duniani, wala taraji ya kukaa hapana”. Mtu yeyote anayejiita ni mkristo ni wazi kuwa yupo safarini, Na kama yupo safarini ni lazima afahamu malengo yake ni nini, kwamba anatoka ..

Read more