Category : Biblia kwa kina

WOKOVU WA KWELI NI UPI? Habari ya uzima wako mtu wa Mungu, Ni siku nyingine tena leo nakukaribisha tushiriki pamoja kujifunza Neno la Mungu, maji yaliyosafi yasafishayo roho zetu kila siku. Je unaposema umeokoka, ni nini kinakupa uhakika huo? Wengi wetu tunafundishwa au tunafahamu kuwa ukitaka kuokoka jambo la kwanza ni kuamini Yesu alifufuliwa katika ..

Read more

SHIKA UZIMA WA MILELE ULIOITIWA Kila mmoja wetu aliyeokoka kweli kweli anapaswa kujua kitu cha kwanza Mungu alichotuitia sio mafanikio ya hapa duniani hayo ni ya ziada, lakini kikubwa ambacho tumeitiwa ni UZIMA WA MILELE. 1Timotheo 6:12 “Piga vita vile vizuri vya imani; SHIKA UZIMA ULE WA MILELE ULIOITIWA, ukaungama maungamo mazuri mbele ya mashahidi ..

Read more

Kwanini watu wengi watakataliwa siku ile? Kristo alisema watu wengi watakuja siku ile wakisema Bwana, Bwana, hatukufanya unabii kwa jina lako, na kwa jina lako kutoa pepo, na kwa jina lako kufanya miujiza mingi? (Mathayo7:22). Lakini yeye atawaambia sikuwajua kamwe, maana yake tangu mwanzo wakiwa wanalitumia jina lake hawakujulikana, japo kuwa walikuwa wanatoa pepo na ..

Read more

BWANA, UUACHE MWAKA HUU NAO. Biblia inatufananisha sisi na kama miti izaayo matunda, hivyo kila mmoja wetu anapaswa azae matunda kwa Mungu, kadhalika biblia imetuonya pia mti usiozaa matunda utakatwa, kama tunavyosoma mfano Bwana wetu alioutoa katika Luka 13:6 “Akanena mfano huu; Mtu mmoja alikuwa na mtini umepandwa katika shamba lake la mizabibu; akaenda akitafuta ..

Read more

JE! UMETOLEWA MISRI? Jina la Mwokozi Yesu, libarikiwe. Karibu tujifunze maandiko, Neno la Mungu wetu ambalo ndio taa iongozayo miguu yetu, na Mwanga wa njia yetu (Zab.119:105). Safari ya wana wa Israeli kutoka Misri, kuelekea Kaanani, ni ufunuo kamili wa safari yetu ya Kristo kutuokoa katika dhambi na kutuingiza katika Neema ya wokovu. Musa anafananishwa ..

Read more

KUWA MTU WA KUTAFAKARI Mwanzo 24:63 Isaka akatoka ili KUTAFAKARI kondeni wakati wa jioni; akainua macho yake, akaona, kuna ngamia wanakuja. Nakusalimu katika jina tukufu la Bwana wetu Yesu Kristo, karibu tuyatafakari maneno ya uzima. Siku ya leo tutaenda kujifunza jambo moja ambalo ni muhimu kulitendea kazi katika safari yetu ya Imani, Na jambo lenyewe ..

Read more

Mavazi ya kikahaba ni mavazi ya aina gani? Mithali 7:7 “Nikaona katikati ya wajinga, Nikamtambua miongoni mwa vijana, Kijana mmoja asiyekuwa na akili, [8]Akipita njiani karibu na pembe yake, Akiishika njia iendayo nyumbani kwake, [9]Wakati wa magharibi, wakati wa jioni, Usiku wa manane, gizani. [10]Na tazama, mwanamke akamkuta, ANA MAVAZI YA KIKAHABA, mwerevu wa moyo; [11]Ana kelele, na ukaidi; Miguu yake ..

Read more

Shalom nakusalimu katika jina la mwokozi wetu Yesu Kristo karibu tuyatafakari maneno ya uzima ya mwokozi wetu Yesu Kristo. kuna mambo ya muhimu sana kama mwamini unayotakiwa kuyaelewa ama kuyafahamu juu ya Neno la Mungu? Kama usipoelewa kuna hatua hutafika kamwe. Kuna mambo mengi ya Msingi yanayokuhusu na ni kwa faida yako hutayafahamu na utaelendelea ..

Read more

NENO LA MUNGU NI KIOO Jina la Bwana wetu Yesu Kristo libarikiwe, karibu tujifunze biblia.. Neno la Mungu wetu linafananishwa na vitu vingi katika biblia, kuna mahali linafananishwa na “Taa” (Zab.119:105)”, sehemu nyingine linafananishwa na Upanga wa roho (Waebrania 4:12, Waefeso 6:17)” Na kuna sehemu linafananishwa na “Kioo”. Na leo tutajifunza ni kwa namna gani ..

Read more