KUWA MAKINI TUNAPIMWA KATIKA MIZANI 2 Samweli 2:3 “Msizidi kunena kwa kutakabari hivyo; Majivuno yasitoke vinywani mwenu; Kwa kuwa Bwana ni Mungu wa maarifa, NA MATENDO HUPIMWA NA YEYE KWA MIZANI”. Ndugu matendo yetu yanapimwa katika mizani kila siku yakilinganishwa na ya wengine kama sisi…kizazi chetu kinapimwa katika mizani kikilinganishwa na vizaza vilivyotangulia.. Mathayo 12:41 ..
Category : Biblia kwa kina
Huwezi kutoa kitu kisafi katika kitu kichafu. Jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo libarikiwe milele. Karibu tujifunze biblia Neno la Mungu. Kuna mambo ambayo bila kufuata kanuni fulani hatoweza kupata. Mfano mwanafunzi akitaka kufaulu mtihani hana budi kusoma kwa bidii sana hiyo ndio kanuni, lakini akiingia kwenye chumba cha mtihani, huku hajasoma kabisa ni wazi ..
JIFUNGE, KAVAE VIATU VYAKO. Matendo ya Mitume 12:7-9 “Mara malaika wa Bwana akasimama karibu naye, nuru ikamulika mle chumbani, akampiga Petro ubavuni, akamwamsha, akisema, Ondoka upesi. Minyororo yake ikamwanguka mikononi. [8]Malaika akamwambia, JIFUNGE, KAVAE VIATU VYAKO. Akafanya hivyo. Kisha akamwambia, Jivike nguo yako, ukanifuate. [9]Akatoka nje, akamfuata; wala hakujua ya kuwa ni kweli yaliyofanywa na ..
NCHI YA GIZA KUU Shalom jina la Bwana Yesu Kristo libarikiwe daima. Je! unaifahamu ile nchi ya giza kuu. Biblia inatuambia ipo nchi ya giza kuu! Hebu tuangalie ni nchi ya namna gani hii. Ayubu 10:20-22 “Je! Siku zangu si chache? Acha basi, Usinisumbue, nipate ngaa kutuzwa moyo kidogo. [21]Kabla sijaenda huko ambako sitarudi kutoka huko ..
Je! vazi la suruali limeletwa na wazungu? Yapo mahubiri mengi ambayo ibilisi ameyainua katika siku hizi za mwisho, baadhi ya mahubiri hayo ni yale yanayohuburi kuwa Mungu haangalii mwili bali anaangalia moyo tu, ikiwa na lengo la kuhalalisha wanawake na wanaume kubadili mionekano yao Mungu aliyowaumba nayo. (Kuwa makini sana na injili hiyo maana imetoka ..
FAHAMU HATUA AMBAYO SHETANI ANATAKA UIFIKIE. shalom nakusalimu katika jina la Yesu Kristo, karibu tuyatafakari maneno ya uzima ya mwokozi wetu. Shetani kuna mahali ambapo anataka kila mtu aliemwamini Yesu Kristo aifikie hatua Fulani na mtu huyo akishafikia katika hatua hiyo basi kwake shetani ni ushindi mkubwa sana maana kwa mtu huyo ni ngumu sana ..
HAMANI BIN HAMADATHA ADUI YA WAYAHUDI. Jina la Bwana wetu YESU KRISTO aliye mkuu wa uzima wote litukuzwe. Karibu katika kujifunza NENO la Mungu ili tukue toka utukufu hata utukufu mpaka tutakapofikia kile kilele cha kumjua sana huyu mwokozi wetu Yesu. Leo kwa neema za Mungu tutajifunza kitabu cha Esta ile sura ya 3. Ikiwa ..
Nikatambua na tazama Siye Mungu aliyemtuma. Nehemia 6:11 “Nami nikasema, Je! Mtu kama mimi nikimbie? Naye ni nani, akiwa kama nilivyo mimi, atakayeingia hekaluni ili kuponya maisha yake? Sitaingia. [12]NIKATAMBUA, NA TAZAMA, SIYE MUNGU ALIYEMTUMA; lakini amefanya unabii huu kinyume changu; nao Tobia na Sanbalati ndio waliomwajiri. [13]Kwa sababu hii aliajiriwa, ili mimi niogope, nikafanye ..
UTAKATIFU NDIO TIKETI YA KUMUONA MUNGU. Jina la Bwana na Mwokozi wetu Yesu Kristo libarikiwe. Karibu tujifunze biblia, Neno la Mungu wetu. Neno la Mungu linasema.. “Tafuteni kwa bidii kuwa na amani na watu wote, NA HUO UTAKATIFU, AMBAO HAPANA MTU ATAKAYEMWONA BWANA ASIPOKUWA NAO;” (Waebrania 12:14). Andiko hilo ni muunganiko wa maneno mawili, Neno ..
Waepuke Wanaojiita Wakristo wa namna hii. Nakusalimu katika jina la Yesu Kristo karibu tuyatafakari maneno ya uzima ya mwokozi wetu Yesu Kristo. Katika nyakati za mwisho hizi yapo makundi ya watu wanaojiita Wakristo lakini maisha yao yanatofauti kabisa wala hayaendani hata kidogo na Ukristo. Tofauti na ilivyozoeleka kwa watu kuwa ukristo au wakristo ni dini ..