Category : Biblia kwa kina

SISI NI SHAMBA LA BWANA. Isaya 5:7 “Kwa maana shamba la mizabibu la BWANA wa majeshi ndilo nyumba ya Israeli, na watu wa Yuda ni mche wake wa kupendeza;..” Ikiwa umemwani Yesu Kristo na ukaamua kutubu dhambi na kumfuata kwa gharama zote.. basi fahamu kuwa we ni shamba lake. Na kama we ni shamba la ..

Read more

Je umekusudiwa uzima wa milele? Matendo ya Mitume 13:48 “Mataifa waliposikia hayo wakafurahi, wakalitukuza neno la Bwana, NAO WALIOKUWA WAMEKUSUDIWA UZIMA WA MILELE WAKAAMINI.” Shalom, karibu tujifunza Neno la Mungu.. Ni jambo la kuogopesha kusikia kuwa wapo watu waliokusudiwa uzima wa milele, na wapo ambao hawajakusudiwa uzima wa milele. Na hilo linatupa picha kuwa suala ..

Read more

BIDII YA EZRA Shalom Mwana wa Mungu, karibu tujifunze biblia. Kumbuka biblia kwa sehemu kubwa inaelezea historia ya maisha ya watu kadha wa kadha waliowahi kutokea ili tujifunze kwao yale mazuri. Kwahiyo usomapo habari za akina Nuhu, Ibrahimu, Sara, Musa, Yusufu, Ruthu, Daudi, Ayubu, Danieli, Paulo, Yohana, Mariamu na wengineo usisome tu kama hadithi ya ..

Read more

Jihadhari usipoteze nafasi ya kuingia mbinguni. (Sehemu ya kwanza) Ni vizuri tufahamu kuwa sio watu wote wanaojulikana kama wakristo wataingia mbinguni! Ni wale tu waliokuwa waaminifu mpaka mwisho ndio watakaongia katika ile mbingu mpya na nchi mpya. Na tunaingia tu kwa neema, lakini ni vizuri tuelewa mapema kuwa hii neema sio kama tunavyodhania kuwa tukishaokolewa ..

Read more

Huu sio wakati utupasao kuja! Katika ukristo ogopa sana ile kauli ya kusema “Huu si wakati”… “Bado kidogo”…. “Wakati wake utafika tu siku moja”… Ogopa sana kauli kama hizo, tena ziogope kuliko ukoma. Mara nyingi watu wengi wanapoangalia mazingira Fulani, wanaona kama vile wakati wake bado, pale mtu unapomuambia biblia inasema “saa ya wokovu ni ..

Read more

IKO HATUA MOJA TU KATI YA MIMI NA MAUTI 1Samweli 20:3 “Daudi akaapa, akasema, Baba yako anajua sana ya kuwa nimeona kibali machoni pako, naye asema, Yonathani asilijue neno hili, asije akahuzunika; lakini ni kweli, aishivyo BWANA, na iishivyo roho yako, IKO HATUA MOJA TU KATI YA MIMI NA MAUTI”. Ujumbe huu unakuhusu wewe ambaye ..

Read more

Nini maana ya kuhesabiwa haki kwa imani? Nakusalimu katika jina la Mwokozi wetu Yesu karibu tuyatafakari maneno ya uzima ya Mwokozi wetu Yesu Kristo. Kama Wakristo ni Muhimu sana kuelewa jambo hili sio katika akili zetu tu basi likawa kama taarifa fulani tu ambayo tunaifahamu maandiko yanasema hivyo lakini jambo hili ni msingi dhabiti sana ..

Read more