TU UZAO WA IBRAHIMU Yohana 8:33 “Wakamjibu, Sisi TU UZAO WAKE IBRAHIMU, wala hatujawa watumwa wa mtu wakati wo wote; nawe wasemaje, Mtawekwa huru?.” Je! we ni mzao wa Ibrahimu? Uzao wa Ibrahimu ni upi? Uzao wa Ibrahimu ni uzao wa YESU KRISTO, kulingana na kuwa Yesu Kristo ndiye aliyebeba ahadi za Mungu kwa Ibrahimu. ..
Category : Biblia kwa kina
TU WASAFIRI HAPA DUNIANI. 1Mambo ya Nyakati 29:15 “Kwani sisi tu wageni mbele zako, NA WASAFIRI, KAMA WALIVYOKUWA BABA ZETU WOTE; ni kama kivuli siku zetu duniani, wala taraji ya kukaa hapana”. Mtu yeyote anayejiita ni mkristo ni wazi kuwa yupo safarini, Na kama yupo safarini ni lazima afahamu malengo yake ni nini, kwamba anatoka ..
Ni nini Mungu anachokiangalia kwanza tunapomtolea sadaka. Watu wengi tunamtolea Mungu aidha kwa njia ya fungu la kumi au kwa njia nyingine yoyote ile tunayoijua ..lakini mara nyingi hatuoni faida ya kutoa na mwisho wa siku tunaishia kuona kuwa Mungu hajibu au anajibu tu watu fulani. Ukweli ni kwamba Mungu huwa anajibu mapema sana bila ..
Jinsi mitandao inavyowafunga watu na kuwaweka mbali na Mungu. Biblia inasema.. 1Wakorintho 10:23 “Vitu vyote ni halali; bali si vitu vyote vifaavyo. Vitu vyote ni halali; bali si vitu vyote vijengavyo.” Hii ikiwa na maana kuwa mitandao ni mizuri inaturahisishia vitu vingi na tunapata faida lakini pia sio kila mtandao unafaa. Hivyo tunapaswa tuwe makini ..
Usiwe miongoni mwa makutano wanaofuata Yesu. Shalom, karibu tujifunze Neno la Mungu.. Kipindi Bwana wetu Yesu alipokuwa hapa duniani, kulikuwa na kundi kubwa la watu waliokuwa wakimfuata, hawa walikuwa tu wanakusanyika kusikiliza mahubiri ya Bwana Yesu ambao mara zote Bwana alikuwa anazungumza nao kwa mifano, na kuwaponya magonjwa yao..baada ya hapo walikuwa wanarejea katika shughuli ..
Madhara ya kuabudu Sanamu. Sanamu ni kitu chochote kile kinachotengenezwa chenye umbile aidha la malaika wa mbinguni, mwanadamu, mnyama, au mimea…Mwanadamu yoyote anayetengeneza kitu chochote chenye mifano ya hivyo vitu tayari kashatengeneza sanamu. Moja ya amri 10 Mungu alizowapa wana wa Israeli, ilikuwa ni pamoja na kujiepusha na ibada za sanamu za aina yoyote.. Amri ..
SANAMU ZINAZOTEMBEA Je! Unafahamu kuwa kuna sanamu zinazotembea? (Zizungumzii yale maroboti yanayoendeshwa kwa umeme). Kwa kawaida sanamu yoyote haiwezi kutembea wala kufanya jambo lolote kwasababu haina uhai ndani yake, ni kama jiwe tu. Kweli inaweza kuwa na miguu mizuri lakini haitembei, inaweza kuwa na mikono lakini haishiki, inaweza kuwa na macho mazuri lakini hayaoni, na ..
NAMNA YA KUKATA KIU YA DHAMBI MAISHANI MWAKO. Shalom: Nakusalimu kwa jina lipitalo majina yote jina la Bwana Yesu Kristo mkuu wa Uzima. Karibu tujifunze maneno yake ya uzima. Na leo tutaenda kufahamu jinsi ya kukata kiu ya dhambi na kiu ya kila kitu maishani mwetu. Yamkini unatamani kuacha dhambi na unashindwa, unatamani kuacha uzinzi, ..
MFAHAMU MFALME YOSIA. Shalom: karibu tujifunze biblia kwa kina. Mfalme Yosia ni nani? 2 Wafalme 22:1 “Yosia alikuwa na umri wa miaka minane alipoanza kutawala; akatawala miaka thelathini na mmoja katika Yerusalemu; na jina la mama yake aliitwa Yedida, binti Adaya wa Bozkathi.” Mfalme Yosia ni Moja ya Wafalme 19 waliotawala Yuda, enzi zile za ..
NA HAPO PATAKUWA NA NJIA KUU Isaya 35: 8 “Na hapo patakuwa na NJIA KUU, na njia, NAYO ITAITWA, NJIA YA UTAKATIFU; wasio safi hawatapita juu yake; bali itakuwa kwa ajili ya watu hao; WASAFIRIO, WAJAPOKUWA WAJINGA, HAWATAPOTEA KATIKA NJIA HIYO”. Jina la Bwana na Mwokozi wetu YESU KRISTO libarikiwe daima. Karibu katika mafundisho ya ..