Je! umeweka kweli nia kumtafuta Bwana. Kama we ni msomaji wa biblia utafahamu kuwa kuna kipindi Israeli iligawanyika na kuwa na pande mbili yaani upande wa kaskazini ambako kulikuwepo na yale makabila 10 chini ya Yeroboamu na lile la Yuda na Benjamini ambalo lilikuwepo upande wa kusini chini ya Rehoboamu, leo hatutazungumzia kwa urefu kuhusu ..
Category : Biblia kwa kina
Mtu akiipenda dunia kumpenda Baba hakumo ndani yake. Nakusalimu katika jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo karibu tuyatafakari maneno ya uzima. Tofauti na inavyodhaniwa na watu wengi kuwa mstari huu unawazungumzia Watu ambao hawajaokoka, la! Mstari huu ni mahususi kabisa na kwa watu ambao tayari wameshamwamini Yesu Kristo. Walaka huu unamhusu Mkristo yeyote ulimwenguni ..
ILE SAFINA IKAELEA JUU YA USO WA MAJI. Jina la Bwana Yesu Kristo libarikiwe. Karibu tujifunze maneno ya uzima. Je! Umewahi kutafakari ni kwanini ile safina ya Nuhu ambayo ilikuwa imebeba wanyama mbali mbali haikuzama japokuwa walikuwepo wanyama wazito kama tembo, twiga, ngamia n.k, ? Maandiko yanasema ile safina ikaelea juu ya uso wa maji. ..
Itengeneze tabia ya Mungu ndani yako. Shalom, Nakusalimu katika jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo Karibu tuyatafakari maneno ya uzima. “Mwenye jukumu na wajibu wa kufanya tabia ya Mungu iwe ndani yako yaani uwe kama Mungu jinsi alivyo ni wewe” “Kupokea Roho Mtakatifu haimaanishi unayo tabia ya Mungu ndani yako, kuwa na karama ikiwa ni ..
ITAFAKARI HEKIMA YA MUNGU KATIKA UUMBAJI WAKE. Jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo Libarikiwe siku zote. Karibu tuongeze maarifa ya kumjua Mungu. Na leo tutajifunza umuhimu wa kutafakari hekima ya Mungu ipatikanayo katika uumbaji wake. Hekima ni nini? Hekima ni Neno pana ambalo linajumuisha elimu au ujuzi/akili au uwezo wa kupambanua, kuhukumu, na kufanya maamuzi ..
Tujifunze kanuni za Mungu Jina la Bwana na Mwokozi wetu Yesu Kristo libarikiwe, karibu tujifunze biblia Neno la Mungu wetu lililo taa ya miguu yetu na Mwanga wa njia yetu (Zab.119:105). Ni muhimu kujua kanuni kadhaa za ndani ya biblia ambazo Mungu anataka tuzifuate ili tufanikiwe (kimwili na kiroho), Zipo kanuni nyingi katika biblia ambazo ..
JITENGE NA MKUTANO WA WATU WAOVU. Jina la Mkuu wa Uzima na Mkuu wa wafalme wa dunia, YESU KRISTO libarikiwe. Karibu tujifunze Neno la Mungu Mungu wetu. Biblia inatufundisha kuwapenda watu wote, lakini si kuambatana na watu wote. 2Wakorintho 6:14 “Msifungiwe nira pamoja na wasioamini, kwa jinsi isivyo sawasawa; kwa maana pana urafiki gani KATI ..
TUKAJIONA NAFSI ZETU KUWA KAMA MAPANZI Shalom. Jina la Bwana Yesu Kristo libarkiwe. Karibu tujifunze maneno ya uzima ya Mungu wetu. Katika safari yoyote bila shaka huwa kuna milima na mabonde, hakuna tu mteremko kwa wakati wowote, Vivyo hivyo na katika ukristo hakuna mteremko..ni lazima ukutane tu na milima (matatizo) kadha wa kadha. Ndio maana ..
AKAMLAZA KIJANA CHINI YA KIJITI KIMOJA. Jina kuu la Bwana Yesu Kristo mkuu wa mbingu na nchi libarikiwe milele na milele. Nakukaribisha tujifunze maneno ya uzima ya Bwana Yesu. Leo tutajifunza jambo moja katika ile habari ya Hajiri Mjakazi wa Sara ambaye tunamsoma katika kitabu cha mwanzo Sura ya 21. Ili kufupisha hiyo habari, kama ..
UVUMILIVU NI NYENZO MUHIMU KATIKA SAFARI YA MAFANIKIO. Safari yoyote ya mafanikio aidha mafanikio ya rohoni au ya mwilini inahitaji uvumilivu, bila uvumilivu mafanikio hayaji kiwepesi wepesi kama unavyotaka, hakuna bahati nasibu kwenye mafanikio ni kuwa mvumilivu, wakati mwingine utaona kama hayaji lakini ukiwa mvumilivu hakika utafanikiwa tu, Ibrahimu ambaye tunamjua kama Baba yetu wa ..