Category : Biblia kwa kina

Mapambo yanachochea uzinzi. Je! Ni kweli kujipamba kwa kutumia mekaups, lipustiks, wanja, wigi, hereni, n.k ni urembo tu? Je! Biblia inasemaje kuhusu kujipamba? Biblia inasema kujipamba kwenu kusiwe kwa nje. Ahaa kumbe tunatakiwa kujipamba lakini sio kwa nje! sasa kama sio kwa nje, basi itakuwa kwa ndani. Maana yake wanawake wa kikirsto wanapaswa wajipambe kwa ..

Read more

WALAKINI MAHALI PA JUU HAPAKUONDOLEWA. 2 Wafalme 14:4 “Walakini mahali pa juu hapakuondolewa; watu wakaendelea kutoa dhabihu na kufukiza uvumba katika mahali pa juu.” Jina la mwokozi Yesu libarikiwe daima, karibu tujifunze biblia neno la Mungu lililo taa na mwanga wa njia zetu. Katika Agano la kale nyakati za Wafalme, kuna watu walikuwa wanatoa sadaka ..

Read more

Mungu ndiye abadilishaye mashauri. Ni kawaida kusikia ushauri wa mtu Fulani ni zuri au kusikia yule usimsikilize ushauri wake utakupoteza. Lakini watu wengi hatujui kuwa ushauri wa Bwana ni mzuri zaidi ya ushauri wa wanadamu, kwani mara nyingi adui shetani amekuwa akiwatumia watu kuharibu maisha ya watu wengi kupitia ushauri ambao tunaweza kuupokea na kuona ..

Read more

NAKUPA SHAURI UNUNUE KWANGU DHAHABU ILIYOSAFISHWA. Ufunuo wa Yohana 3:15 ”Nayajua matendo yako, ya kuwa hu baridi wala hu moto; ingekuwa heri kama ungekuwa baridi au moto. [16]Basi, kwa sababu una uvuguvugu, wala hu baridi wala moto, nitakutapika utoke katika kinywa changu. [17] KWA KUWA WASEMA, MIMI NI TAJIRI, nimejitajirisha, wala sina haja ya kitu; ..

Read more

FANYENI MAMBO YOTE KWA UTUKUFU WA MUNGU.  Jina kuu la Yesu Kristo Mfalme Mkuu libarikiwe sana. Karibu tujifunze biblia. Neno la Mungu linasema katika.. 1Wakorintho 10:31 “Basi, mlapo, au mnywapo, au mtendapo neno lo lote, fanyeni yote kwa utukufu wa Mungu. Biblia imetuagiza tufanye mambo yote kwa utukufu wa Mungu. Hii ikiwa na maana kuwa ..

Read more

Usijigeuze na kuvaa mavazi mengine. Katika biblia tunamsoma mfalme mmoja wa Israeli ambaye alijigeuza na kuvaa mavazi mengine..na huyu si mwingine zaidi ya Sauli, na lengo la kufanya hivyo ilikuwa ni yeye asijulikane na kule anakokwenda kwa yule mwanamke mchawi. Tunasoma.. 1 Samweli 28:8 Basi Sauli akajigeuza, na kuvaa mavazi mengine, kisha akaenda, yeye na ..

Read more

  Piga hatua Fikia katika kiwango hiki Nakusalimu katika jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo karibu tuyatafakari maneno ya uzima ya mwokozi wetu Yesu Kristo. Kama mkristo kuna viwango ambavyo unapaswa kuvifikia viko viwango vya namna mbali mbali ambavyo unapaswa kuvifikia lakini kwa leo tutaangalia kiwango au hatua ambayo wewe kwako ni ya muhimu sana ..

Read more

Tena ufalme wa mbinguni umefanana na..! Shalom,  Nakusalimu katika jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo Karibu tujifunze maneno ya uzima. Sehemu ya 01. Katika kitabu cha Mathayo sura ya 13 Bwana Yesu alizungumza mifano saba 7 kuhusu siri za ufalme wa mbinguni umefanana na…. Lengo kuu Yesu Kristo alitaka tutafakari kwa kina hiyo mifano ili ..

Read more

Ni mapambo gani ambayo pepo mchafu likiona kwenye nyumba iliyofagiwa anaenda kuchukua pepo wengine saba na kuja kukaa ndani ya nyumba hiyo. Swali: Bwana YESU alisema pepo anapomtoka mtu na baadaye akirudi na kukuta nyumba yake imefagiliwa na kupambwa huenda kuchukua pepo wengine saba,.. maaana yake ni nini kusafishwa na kupambwa?.. je mapepo wanapenda sehemu ..

Read more