Category : Maswali ya Biblia

Jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo litukuzwe, nakukaribisha katika wakati mwingine tena wa kujifunza neno la Mungu. Swali: Je haya maneno mawili Kushuhudia na Kuhubiri yapo na utofauti Jibu: Ndiyo kuna tofauti katika maneno haya japo yanategemeana, tuangalie maana ya kushuhudia ni nini, kushuhudia limetokana na neno shuhuda, mfano mtu aone jinsi mtoto mdogo alivyo ..

Read more

Bwana Yesu asifiwe, nakusalimu kwa jina la Mwokozi Yesu, karibu katika kujifunza Jibu: Hakuna kosa lolote walilolifanya wana wa Israeli, lililowafanya wakae utumwani miaka hiyo mia nne, lakini lipo jambo ambalo tutajifunza je ni kitu gani kilichopeleka wakae utumwani miaka mingi huko misri Mambo yaliyofanya Mungu awaache wana wa Israeli utumwani miaka 400, yalikuwa ni ..

Read more

Shalom karibu tujifunze maneno ya uzima kutoka kwa Bwana wetu Yesu Kristo. Turejee maandiko haya Mwanzo 24:67 “Isaka akamwingiza Rebeka katika hema ya mama yake, Sara, akamtwaa Rebeka, akawa mkewe, akampenda; Isaka akafarijika kwa ajili ya kufa kwa mamake”. Isaka alikuwa ni mwana pekee kwa mama yake, kwahiyo  hili andiko halikumaanisha kuwa  isaka alipenda na ..

Read more

Jina la Bwana libarikiwe karibu tuweze kujifunza tena Neno la Mungu litupalo uzima ndani yetu… Tusome andiko hilo ili tupate maana ya mstari huo Zaburi 38:10 “Moyo wangu unapwita-pwita, Nguvu zangu zimeniacha; Nuru ya macho yangu nayo imeniondoka”. Maana ya neno “moyo wangu unapwita pwita, ni sawa na kusema moyo wangu unauma hivyo maana ya ..

Read more

Shalom, Jina la Bwana Yesu lisifiwe milele Kwa Neema za Bwana tutaangazia ni sifa gani alizonazo mtu ambaye amekombolewa kwenye mikono ya adui shetani,  na kwa kujifunza hayo basi utaongeza maarifa zaidi.. Maandiko yanasema,  Marko 5:1-5,8-9,13-16 [1]Wakafika ng’ambo ya bahari mpaka nchi ya Wagerasi. [2]Na alipokwisha kushuka chomboni, mara alikutana na mtu, ambaye ametoka makaburini, ..

Read more

Shalom mwana wa Mungu karibu tujifunze maneno ya uzima yatokayo kwa mwokozi wetu Yesu Kristo. Neno la Mungu linaonyesha kuwa Mungu ni nabii ikimaanisha kuwa ni kiongozi anayesimamia na kuliendesha kundi kubwa la watu wenye misimamo na mitazamo tofauti kulingana na lugha, tabia na mwenendo.hata kwa Mungu wetu itoshe kusema kuwa yeye ni nabii kwakuwa ..

Read more