Category : Maswali ya Biblia

  MBINGUNI Maeneo mengi ya biblia yanaposema Mbinguni huwa yanamaanisha ni moja kwa moja kule Mungu alipo, anapokaa pamoja na malaika zake, ndipo huko Bwana Yesu alipokwenda kutuandalia makao, ambao kwa sisi watu wa Mungu, watakatifu bado hatujafika hata mmoja wetu.. Hiyo Ndio mbingu ya tatu ambayo alinyakuliwa mtume Paulo na kuonyeshwa vitu ambavyo kibinadamu ..

Read more

Shalom mpendwa karibu tujifunze maneno ya uzima yatokayo kwa Bwana Yesu. Tusome maandiko haya. 1Petro 1:13 “Kwa hiyo vifungeni viuno vya nia zenu, na kuwa na kiasi; mkiitumainia kwa utimilifu ile neema mtakayoletewa katika ufunuo wake Yesu Kristo. 14 Kama watoto wa kutii msijifananishe na tamaa zenu za kwanza za ujinga wenu”. Popote inapozungumziwa katika ..

Read more

Shalom. Nakusalimu katika jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo. Tukisoma katika kitabu cha ufunuo katika sehemu tofauti tofauti/sura neno hili limejirudia rudia zaidi ya mara 2. Ufunuo wa Yohana 2:17 “YEYE ALIYE NA SIKIO, NA ASIKIE neno hili ambalo Roho ayaambia makanisa……” Lakini ukisoma tena.. Ufunuo wa Yohana 2 7 YEYE ALIYE NA SIKIO, na alisikie neno ..

Read more

Shalom karibu tujifunze maneno ya uzima kutoka kwa Bwana wetu yesu kristo. Filipo mhubiri wa injili aliagizwa na malaika wa Bwana aende njia ya jangwani ( Gaza) alipokuwa akielekea huko njiani alikutana na mkushi ( towashi) ili akamhubiria  injili na siku hiyo akabatizwa na kupelekwa eneo lingine.tukisoma maneno ya uzima yanasema. Matendo 8:26 “Malaika wa ..

Read more

Jina la Mwokozi wetu libarikiwe, karibu katika kujifunza Neno la Mungu litupalo uzima wa maisha yetu Ukisoma katika, Luka 6:37 “Msihukumu, nanyi hamtahukumiwa; msilaumu, nanyi hamtalaumiwa; achilieni, nanyi mtaachiliwa”. Hapa tunaona neno la Mungu linatuqgiza kwa Habari ya kutokuhukumu Wala kulaumu, sasa je ni dhambi au makosa kumwambia mtu ukweli unapoona amefanya jambo isivyo stahili. ..

Read more

Tunachopaswa kufahamu ni kuwa “Mungu ni BABA wa kila kitu hapa duniani na mbinguni pia, ndiyo maana Paulo akasema maneno haya Waefeso 3:14 “Kwa hiyo nampigia Baba magoti, 15 ambaye kwa jina lake UBABA WOTE WA MBINGUNI NA WA DUNIANI UNAITWA”, Kama ilivyo wajibu wa baba wa kimwili ulivyo katika familia yake, jinsi anavyojali, navyohudumia, ..

Read more

  Jina la Bwana Yesu libarikiwe. Karibu tujifunze maneno ya Mungu yenye uzima. Tusome… Isaya 29:16 Ninyi mnapindua mambo; Je! Mfinyazi ahesabiwe kuwa kama udongo; kitu kilichomfinyangwa kimnene yeye aliyekifinyanga, Hakunifinyanga huyu; au kitu kilichoumbwa kimnene yeye aliyekiumba, Yeye hana ufahamu? Bila shaka kama we ni msomaji wa biblia naamini si mara ya kwanza kukutana ..

Read more

  Kifo ni Hali ya kutoka uhai ndani kwa kiumbe chochote , na kinaweza kumtokea Mwanadamu,mnyama, mmea, kwa kuwa ndani yao umo uhai basi vinapotokwa na huo uhai vinakufa.. Mauti  ni kifo pia ijapokuwa mauti ipo kwa wanadamu, kwasababu hakuna uhalisia wowote kusema mti umekumbwa na mauti, au paka amekumbwa na mauti, bali sentensi kamili ..

Read more

Shalom! jina la Bwana wetu yesu kristo lipewe sifa karibu mwana wa Mungu tujifunze maneno ya uzima. Tunaweza kusoma kitabu hiki hapa chini. Ayubu 1:14 “Huyo alipokuwa akali akinena, akatokea na mwingine, na kusema, Moto wa Mungu umeanguka kutoka mbinguni na kuwateketeza kondoo, na wale watumishi, na kuwaangamiza; mimi peke yangu nimepona, mimi tu, kukuletea ..

Read more