Bwana Yesu asifiwe. Jibu: suala la kufunga ndoa lipo kibiblia kabisa ( ni Agizo la Mungu) lakini harusi ni karamu au sherehe tu kuadhimisha tukio Hilo la muhimu kati ya wahusika [Bibi na Bwana Harusi]. Sasa sherehe hizo huenda kulingana na Mila na Desturi za mahali husika. Utaona pia Yesu katika mifano yake aliwahi pia ..
Category : Maswali ya Biblia
Shalom. Najua ushawahi kujiuliza ni kwa Nini Kila nchi Ina bendera zenye rangi mbalimbali, ambapo Kila rangi huwakilisha kitu fulani mfano Tanzania ina rangi nne [Bluu, kijani, Nyeusi na njano]. Kila moja inawakilisha jambo fulani kuhusu Tanzania, ambalo litamjulisha Mtu kulihusu kabla hata hajafika.. > Kijani: uoto wa asili > Bluu: Bahari na vyanzo vingine ..
Bwana wetu Yesu Kristo Asifiwe! Swali: Ni mizaha Gani inayoongelewa zaburi 1:1? Kuna tofauti kati ya mizaha na utani? Kama hamna utofauti, je? Hata kutaniana na mtu ni dhambi? Jibu: tusome.. Zaburi 1:1 “Heri mtu yule asiyekwenda katika shauri la wasio haki; Wala hakusimama katika njia ya wakosaji; Wala hakuketi barazani pa wenye mizaha”. Imezungumzia ..
Shalom. Kifo cha kuhani wa Mungu Eli kilikuwa kwa kuvunjika shingo SI namna nyingine yoyote pia kama funzo kwetu kuhusu UTII dhidi ya Maagizo ya Mungu.. Mithali 29:1 “Aonywaye mara nyingi akishupaza shingo, Atavunjika ghafula, wala hapati dawa”. Eli alikuwa kuhani kwa miaka 40, akiongoza pamoja na wanawe wawili [Hofni na Finehasi], lakini wanawe hawa ..
Karibu tujifunze Maneno ya Uzima. Nini maana ya kuwatema Farasi? Na kwanini Mungu aliwaagiza Israel kuwatema Farasi wa adui zao? Tusome.. Yoshua 11:6 “Bwana akamwambia Yoshua, Usiche wewe kwa ajili ya hao; kwani kesho wakati kama huu nitawatoa hali wameuawa wote mbele ya Israeli; UTAWATEMA FARASI ZAO, na magari yao utayapiga moto. 7 Basi Yoshua ..
Shalom. Swali: Mafarisayo walipomwambia Yesu kuwa alitoa Pepo kwa beelzebuli, JE? Alimaanisha Nini alipowauliza JE watoto huwatoa kwa nani? Tusome.. Mathayo 12:24 “Lakini Mafarisayo waliposikia, walisema, huyu hatoi pepo, ila kwa Beelzebuli mkuu wa pepo. 25 Basi Yesu akijua mawazo yao, akawaambia, Kila ufalme ukifitinika juu ya nafsi yake, hufanyika ukiwa; tena mji au nyumba ..
Shalom. Yeremia 23:18 “Maana, ni nani aliyesimama katika baraza la Bwana, hata akalifahamu neno lake na kulisikia? Ni nani aliyelitia moyoni neno langu, na kulisikia” Tufuatilie mtiririko wa habari hii kwa kuendelea mpaka 22, ili tupate taarifa sahihi zaidi.. “19 Tazama, tufani ya Bwana, yaani, ghadhabu yake, imetokea; ni dhoruba ya kisulisuli; itapasuka, na kuwaangukia ..
Nakusalimu katika Jina la Yesu Kristo Mwokozi wetu. Kimiami kwa lugha ya sasa ni dirisha kubwa lililo katika ghorofa. Katika lugha/Kiswahili cha zamani ilimaniisha hivyo. Sasa ukisoma katika biblia ya kiingereza inaeleza wazi wazi kabisa maana yake ni nini!! Song of Solomon 2:9 [9]My beloved is like a gazelle or a young hart. Behold, he ..
Swali: JE? Biblia Ina maana Gani kusema “vipo sita, naam vipo Saba” kwanini isingesema moja kwa moja tu kuwa vipo Saba? Jibu: inayotumika hapo ni lugha ya Zamani inayotumika kuweka mkazo au msisitizo kuhusu lile jambo la mwisho, yaani Kama vinaonekana vinne, lakini kuna Cha tano ambacho ni muhimu zaidi. Mfano tufuatilie maneno haya, Mithali ..
Shalom, jina la Bwana libarikiwe. Mithali 14:20 “Maskini huchukiwa hata na jirani yake; Bali tajiri ana rafiki wengi” Angalia na hapa.. Mithali 19:4 Inasema “Utajiri huongeza rafiki wengi; Bali maskini hutengwa na rafiki yake”. Hizi ni Mithali kama zilivyoandikwa na mfalme Sulemani kwa hekima alizopewa na Mungu, ameainisha mafunzo na maonyo mbalimbali kuhusu maisha ya ..