Category : Maswali ya Biblia

Jina la mwokozi litukuzwe karibu katika kujifunza Hapo aliposema fimbo ya udhalimu haitakaa juu ya fungu la mwenye haki Turejee Zaburi 125:2-3 [2]Kama milima inavyouzunguka Yerusalemu, Ndivyo BWANA anavyowazunguka watu wake, Tangu sasa na hata milele. [3]Kwa maana fimbo ya udhalimu Haitakaa juu ya fungu la wenye haki; Wenye haki wasije wakainyosha Mikono yao kwenye ..

Read more

Bwana Yesu asifiwe, karibu katika kujifunza tena Mastari huu umekuwa ukitafsriwa tofauti, imekuwa ilidhahaniwa kuwa mstarii huu unamaanisha Mtakatifu kuanguka katika dhambi, la sivyo kwa sababu ingekuwa Kila wakati mwenye haki ananguka katika dhambi ya wizi kisha anainuka, alafu tena baada ya mda anaanguka, badae tena anaanguka, ni wazi kuwa itamfanya kupoteza nguvu ya kumtumikia ..

Read more

Bwana Yesu asifiwe, karibu tujifunze neno la Mungu Yesu Kristo alijulikana kwa sifa nyingi sana, mfano anajulikana kama simba wa yuda, maji ya uzima, mwamba imara nk… Hizi ndiyo tabia ambazo zilimtambulisha Yesu Kristo Likini Leo tutajifunza sifa yake moja, Yesu Kristo kwanini aitwe mwana-kondoo na si mwana- mbuzi au mwana mbuzi au mwana- beberu. ..

Read more

Shalom karibu tujifunze maneno ya uzima kutoka kwa Bwana wetu Yesu Kristo. Tusome maandiko ili tupate maana iliyo bora, rahisi na yenye kueleweka. Mithali 17:16 “Nini maana yake, mpumbavu kuwa na fedha mkononi mwake ya kununulia hekima, Ikiwa hana moyo wa ufahamu?”. Hili andiko linamaanisha kuwa ni ile Hali ya mtu kuwa na uhitaji wa ..

Read more

Bwana Yesu asifiwe Karibu tuyatafari maneno ya uzima Chakula kinachozungumziwa hapa ambacho kimetolewa sadaka kwa sanamu ni chakula ambacho kimepewa au kimetolewa maagizo ya kishetani ili kitumike mfano katika mambo ya kimila au kwa waganga na wachawi. Ndiyo hapo utakuta kabila Fulani wanafanya tabiko, kisha wanatumia mnyama yeyote labda mbuzi, ng’ombe, labda kwa ajili ya ..

Read more

Jina la Mwokozi wetu Yesu lisifiwe, Karibu the jifunze neno lake lililobeba uzima ndani yake… Swali: Je huu mti wa mvinje ulikuwa ni mti gani? Jibu: Kulingana na maandiko mti huu tunausoma katika habari ya Nuhu baada ya Mungu kumpa maagizo atengeneze safina kwa kutumia mti huu wa mvinje Mwanzo 6:13-14 [13]Mungu akamwambia Nuhu, Mwisho ..

Read more

Nakusalimu kupitia Jina la Yesu, ndugu Karibu katika kipindi kingine ili tuweze kutafakari maneno ya uzima…   SWALI: Je kutokana ni kile alichokifanya sulemani, kufanya kosa la kuwajengea miungu madhabahu, baada ya kushawishiwa na wake zake,.sasa kupitia jambo hili sulemani hakusamahewa kabisa hiyo dhambi 1 Wafalme 11:4-9 [4]Maana ikawa, Sulemani alipokuwa mzee, wake zake wakamgeuza ..

Read more