Nakusalimu kwa Jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo karibu tena katika kujifunza Neno lake litupalo nuru.. Maana halisi ya neno hilo “kuiaua nchi” ni kuitembelea nchi au kuizuru, mfano mzuri ni kwa watalii pale wanapokuja kwa ajili ya kutalii kutoka katika nchi zao, au wale watu wanaotumwa kwenda kupepeleza nchi fulani, huko ndiko “kuiaua nchi” ..
Category : Maswali ya Biblia
Maana ya kalibu ni TANURU, pale mazingira yanaposafishwa mara nyingi zile nyasi au takataka huchukuliwa kisha hupelekwa kuchomwa moto, sasa hicho kitendo cha kuchukua majani na kwenda kuyateketeza katika moto hiyo sehemu ndiyo inaitwa kalibuni yaani “TANURU” Mathayo 6:30 “Basi, ikiwa Mungu huyavika hivi majani ya kondeni, yaliyopo leo, na kesho hutupwa kalibuni, je! Hatazidi ..
Utukufu kwa Bwana Wetu Yesu Kristo,aliyetupa neema ya kutafakari Maneno yake ya uzima.. Yamkini umekuwa ukijiuliza sana kwanini maandiko yaseme damu ya Yesu Kristo inanena mema kuliko ile ya habili, na leo kwa Neema za Bwana tutaangazia.. Kama ni msomaji wa maandiko utakuwa unaelewa habari ya kaini na Ndugu yake habili, jinsi dhambi ya wivu ..
Karibu tujifunze Maneno ya uzima ya mwokozi wetu Yesu Kristo. Pengine ulishawahi kujiuliza hili jambo na usipate majibu kamili, au lilishawahi kukuletea sintofahamu ndani yako, ni kuhusiana na damu ya Yesu na jina la Yesu,zidi kusoma nakala hii ikupe uelewa zaidi wa kimaandiko.. Ni sawa tuchukulie uhalisia wa maisha ya kawaida tu, hakuna mtu asiyekuwa ..
Shalom mwana wa Mungu karibu tujifunze maneno ya uzima yatokayo kwa mwokozi wetu Yesu Kristo. Maandiko yanasema… “1Wakorintho 7:34 “Tena iko tofauti hii kati ya mke na mwanamwali. Yeye asiyeolewa hujishughulisha na mambo ya Bwana, apate kuwa mtakatifu mwili na roho. Lakini yeye aliyeolewa hujishughulisha na mambo ya dunia hii, jinsi atakavyompendeza mumewe. 35 Nasema ..
Jina la Mwokozi wetu libarikiwe karibu tena tujifunze neno la Mungu lililo taa ya miguu yetu Kumekuwa na maswali mengi juu ya jina hili “Mola” limeonekana kuwa likitumiwa na watu fulani, wa imani fulani tu, lakini huwezi kuta limetumika mara nyingi katika Imani nyingine mara nyingi utakuta wakitumia jina la Mungu tu. Je kutumia Jina ..
Shalom karibu tena katika kujifunza neno la Mungu. Maana halisi ya mstari huu, hapa Ayubu alikuwa anazungumzia watu ambao wana tabia ya kuwaonea wahitaji mfano, mayatima na wajane Tusome Ayubu 24:2 “Wako waziondoao alama za mipaka; Huyachukua makundi kwa jeuri na kuyalisha. 3 Humfukuza punda wake asiye baba, Humtwaa rehani ng’ombe wake mwanamke mjane.”. Tunaona ..
Andiko hili limekuwa likitafsiriwa tofauti na lilivyo, lakini Leo tutajifunza linamaanisha nini/maana yake ni nini? Mithali 24:26 “Aibusu midomo atoaye jawabu la haki” Jawabu la haki linalomaaniashwa hapa ni kuwa mtu yeyote mwenye haki, ni yule anayeamua Kufunguka kwa wenzake kwa kumweleza ukweli wote pasipo kumficha jambo lolote ili kumweka huru na kumuepusha na jambo ..
Shalom nakusalimu katika jina la Bwana wetu Yesu Kristo Karibu tuyatafakari maneno ya uzima. Jambo ambalo ni la muhimu na la kuzingatia, ni vizuri kufahamu biblia ilitafsiriwa kwa lugha zipi, au chimbuko gani la lugha ilitumika katika kuandika maandiko matakatifu ya Mungu, Kipindi biblia inaandikwa haswa katika biblia yetu hii hususani agano jipya maneno mengi ..
Jina la Bwana Wetu Yesu Kristo lizidi kutukuzwa milele, karibu tujifunze Neno la Mungu, Hili ni jambo la muhimu na kuu kulijua sana wewe ambaye ni mwanadamu na unavuta pumzi ambayo hatutoi malipo yoyote au kuigharamia kwa chochote, Jambo la kumfahamu Yesu Kristo ni la umuhimu kwetu kwasababu yeye ndiye chanzo cha ukombozi wetu, kuishi ..