Category : Uncategorized

SIMAMA KWA MIGUU YAKO. Ezekieli 2:1 “Akaniambia, Mwanadamu, simama kwa miguu yako, nami nitasema nawe. [2]Naye aliposema nami, roho ikaniingia, ikanisimamisha; nikamsikia yeye aliyesema nami.” Upo umuhimu mkubwa wa wewe kusimama kwa miguu yako mwenyewe hasa katika zama hizi za uovu. Ninaposema kusimama mwenyewe kwa miguu yako..ninamaanisha kuwa na mahusiano yako binafsi na Mungu. Wapo ..

Read more

Je umeushinda ulimwengu? Yohana 16:31 “Yesu akawajibu, Je! Mnasadiki sasa? [32]Tazama, saa yaja, naam, imekwisha kuja, ambapo mtatawanyika kila mmoja kwao kwao, na kuniacha mimi peke yangu; walakini mimi si peke yangu, kwa kuwa Baba yupo pamoja nami. [33]Hayo nimewaambieni mpate kuwa na amani ndani yangu. Ulimwenguni mnayo dhiki; lakini jipeni moyo; MIMI NIMEUSHINDA ULIMWENGU.” ..

Read more

NA WA KWANZA ATAKUWA WA MWISHO Shalom, nakusalimu katika jina la Bwana Yesu Kristo. Karibu tujifunze biblia maneno ya uzima. Biblia inatuambia “Heri mwisho wa neno kuliko mwanzo wake,…” (Mhubiri 7:8), hii ni kweli kabisa, mara nyingi watu ambao wanaanza vizuri kufanya jambo Fulani hawamalizi vizuri bali ni wengine wanakuja kutokea mwishoni na kufanya vizuri, ..

Read more

Usichukie Kuambiwa ukweli Upo usemi unaosema ”ukweli unauma” hilo ni kweli kabisa, ni watu wachache sana ambao wanaweza kupokea ukweli kama ilivyo hata kama unawakosoa, wengi huwa hawataki kuambiwa ukweli wa mienendo yao mibovu, tabia zao mbaya, udhaifu wao, kasoro zao.. na hali zao za kiroho. Katika biblia tunasoma mtu mmoja ambaye aliambiwa ukweli wa ..

Read more

USIWE NA SHINGO NGUMU Watu wenyewe shingo ngumu ni watu wa namna gani? Hii ni sifa mojawapo ya watu wenye shingo ngumu. 1.Siku zote wanampinga Roho Mtakatifu Matendo ya Mitume 7:51 “Enyi wenye shingo gumu, msiotahiriwa mioyo wala masikio, siku zote mnampinga Roho Mtakatifu; kama baba zenu walivyofanya, na ninyi ni vivyo hivyo.” Katika siku ..

Read more

YESU KRISTO TUMAINI LA UTUKUFU Wakolosai 1:24-24 “Sasa nayafurahia mateso niliyo nayo kwa ajili yenu; tena nayatimiliza katika mwili wangu yale yaliyopungua ya mateso ya Kristo, kwa ajili ya mwili wake, yaani, kanisa lake; [25]ambalo nimefanywa mhudumu wake, sawasawa na uwakili wa Mungu, niliopewa kwa faida yenu, nilitimize neno la Mungu; [26]siri ile iliyofichwa tangu ..

Read more

ENDELEA MBELE USITAZAME NYUMA Nakusalimu katika jina tukufu la Bwana Yesu Kristo. Karibu tujifunze maneno ya Mungu. Na siku ya leo tutajifunza umuhimu wa kuendelea mbele katika safari ya imani. Bila shaka safari ya imani ni safari ndefu yenye milima na mabonde kama ilivyo kwa safari zingine za haya maisha. Lakini pamoja na hayo, ipo ..

Read more

NA TUMWEKE MTU MMOJA AWE AKIDA, TUKARUDI MISRI Jina la Mwokozi Yesu, libarikiwe. Karibu tujifunze maandiko, Neno la Mungu wetu ambalo ndio taa iongozayo miguu yetu, na Mwanga wa njia yetu (Zab.119:105). Safari ya wana wa Israeli ni funzo tosha, kwetu sisi tunaosafiri kutoka katika ulimwengu kwenda Kaanani yetu (yaani mbinguni). Hivyo tukijifunza kwa undani, ..

Read more