NA WA KWANZA ATAKUWA WA MWISHO Shalom, nakusalimu katika jina la Bwana Yesu Kristo. Karibu tujifunze biblia maneno ya uzima. Biblia inatuambia “Heri mwisho wa neno kuliko mwanzo wake,…” (Mhubiri 7:8), hii ni kweli kabisa, mara nyingi watu ambao wanaanza vizuri kufanya jambo Fulani hawamalizi vizuri bali ni wengine wanakuja kutokea mwishoni na kufanya vizuri, ..
Category : Uncategorized
Usichukie Kuambiwa ukweli Upo usemi unaosema ”ukweli unauma” hilo ni kweli kabisa, ni watu wachache sana ambao wanaweza kupokea ukweli kama ilivyo hata kama unawakosoa, wengi huwa hawataki kuambiwa ukweli wa mienendo yao mibovu, tabia zao mbaya, udhaifu wao, kasoro zao.. na hali zao za kiroho. Katika biblia tunasoma mtu mmoja ambaye aliambiwa ukweli wa ..
USIWE NA SHINGO NGUMU Watu wenyewe shingo ngumu ni watu wa namna gani? Hii ni sifa mojawapo ya watu wenye shingo ngumu. 1.Siku zote wanampinga Roho Mtakatifu Matendo ya Mitume 7:51 “Enyi wenye shingo gumu, msiotahiriwa mioyo wala masikio, siku zote mnampinga Roho Mtakatifu; kama baba zenu walivyofanya, na ninyi ni vivyo hivyo.” Katika siku ..
YESU KRISTO TUMAINI LA UTUKUFU Wakolosai 1:24-24 “Sasa nayafurahia mateso niliyo nayo kwa ajili yenu; tena nayatimiliza katika mwili wangu yale yaliyopungua ya mateso ya Kristo, kwa ajili ya mwili wake, yaani, kanisa lake; [25]ambalo nimefanywa mhudumu wake, sawasawa na uwakili wa Mungu, niliopewa kwa faida yenu, nilitimize neno la Mungu; [26]siri ile iliyofichwa tangu ..
Vitu vitano ambavyo hupaswi kupunguza kabisa katika safari ya imani. Jina la Bwana Yesu Kristo libarkiwe milele na milele. Ikiwa we ni mkristo wa kweli, vipo vitu vitano ambavyo hupaswi kabisa kupunguza katika safari yako ya wokovu. Kwanza jambo ambalo unapaswa kufahamu ni kuwa wokovu ambao tumeupokea bure kwa neema ya Yesu Kristo Bwana wetu ..
ENDELEA MBELE USITAZAME NYUMA Nakusalimu katika jina tukufu la Bwana Yesu Kristo. Karibu tujifunze maneno ya Mungu. Na siku ya leo tutajifunza umuhimu wa kuendelea mbele katika safari ya imani. Bila shaka safari ya imani ni safari ndefu yenye milima na mabonde kama ilivyo kwa safari zingine za haya maisha. Lakini pamoja na hayo, ipo ..
NA TUMWEKE MTU MMOJA AWE AKIDA, TUKARUDI MISRI Jina la Mwokozi Yesu, libarikiwe. Karibu tujifunze maandiko, Neno la Mungu wetu ambalo ndio taa iongozayo miguu yetu, na Mwanga wa njia yetu (Zab.119:105). Safari ya wana wa Israeli ni funzo tosha, kwetu sisi tunaosafiri kutoka katika ulimwengu kwenda Kaanani yetu (yaani mbinguni). Hivyo tukijifunza kwa undani, ..
Shangwe ya waovu ni kwa muda kidogo tu! Ayubu 20:4 Je! Hujui neno hili tangu zamani za kale, Tangu wanadamu kuwekwa juu ya nchi, [5]Ya kuwa shangwe ya waovu ni kwa muda kidogo, Na furaha ya wapotovu ni ya dakika moja tu? Jambo ambalo watu wengi huwa hawajui ni kwamba uhai ni zawadi toka kwa Mungu, ..
Tujifunze kanuni za Mungu Jina la Bwana na Mwokozi wetu Yesu Kristo libarikiwe, karibu tujifunze biblia Neno la Mungu wetu lililo taa ya miguu yetu na Mwanga wa njia yetu (Zab.119:105). Ni muhimu kujua kanuni kadhaa za ndani ya biblia ambazo Mungu anataka tuzifuate ili tufanikiwe (kimwili na kiroho), Zipo kanuni nyingi katika biblia ambazo ..
LIPO LA KUJIFUNZA KWA WALE WAZALISHA WA KIEBRANIA Masomo maalumu kwa waajiriwa/wafanyakazi Nakusalimu kwa jina la Yesu Kristo Mfalme wa Wafalme na Bwana wa Mabwana. Karibu tujifunze maneno yake ya uzima. Ikiwa wewe ni mfanyakazi/mwajiriwa, basi leo utajifunza kitu kwa habari hii tunayoenda kuisoma ambayo inahusu wale wazalisha wa Kiebrania..na jambo hili ukilitendea kazi katika ..