Mungu alimpa maagizo Musa atengeneze nyoka wa Shaba, ili kila mtu alieumwa na wale nyoka wa moto akimtazama huyo nyoka apone. Kama maandiko yanavyosena… Lakini Mungu hakuwahi kusema kwamba Wana wa Israeli kuwa muda au mazingira yeyote yale watakapo patwa na magumu au shida basi ndo wamsimamishe nyoka wa shaba wamtazame ili wapone, hakuwahi kusema ..

Read more

Nakusalimu katika Jina la Yesu Kristo Bwana wetu. Karibu Tuyatafakari pamoja maneno ya Uzima. Mbwa kiroho huwakilisha vitu mbalimbali. Sasa inategemea sana na ndoto imekuja katika mazingira Gani na uzito upi (kujirudia rudia). Mbwa anaweza wakilisha mlinzi, adui, au kitu Najisi {kichafu}. Sasa tuchambue hizi ishara tatu kwa ufupi 1. MBWA KAMA MLINZI Sifa mojawapo ..

Read more

Nakusalimu katika Jina la Yesu Kristo. Karibu katika Maneno ya Uzima Unapokosa uelewa kuhusu ndoto, kwanza utashindwa kutambua kusudi la Mungu juu ya hiyo, pia imewafanya wengi kuwa watumwa wa ndoto zao wakihisi Kila ndoto ni ya kuzingatia na Ina tafsiri Fulani tofauti. Lakini si hivyo! Ukweli ni kwamba inabidi kwanza ujue makundi haya makuu ..

Read more

Bwana wetu Yesu Kristo na Asifiwe Ndoto za aina hii zimekuwa zikiotwa na Watu wengi kwa namna tofauti tofauti, mfano wengine wanaota wanafanya mitihani migumu sana kwao Lakini wenzao Wana uwezo wa kujibu isipokuwa wao tu, au anafanya mtihani na hawakujiandaa, au kimefika kipindi Cha mitihani wanagundua hakuna walichokifanya siku zote n.k Namna nyingine ni ..

Read more

Shalom karibu tujifunze Maneno ya Uzima.. Warumi 13:14Bali mvaeni Bwana Yesu Kristo, wala msiuangalie mwili, hata KUWASHA TAMAA ZAKE.” Kuuangalia mwili kama ilivyoandikwa hapo juu inamaanisha kuujali au kuutii sana mwili kupitiliza, na hatimae kuziwasha tamaa za mwili…Mtu anapofikia hatua hii huwa ni teja wa mwili wake na huutii kwa Kila jambo Lasivyo mtu huyo ..

Read more

Unapokuwa tayari kwa hiyari yako kumkabidhi Kristo maisha yako ili akuokoe na kukusamehe dhambi zako basi huo ni uamuzi mzuri zaidi na wenye furaha zaidi maisha yako yote, kama ilivyokuwa kwa sisi wenzako katika kristo Yesu, ilikuwa hivyo hivyo. Kumbuka.. • kwa Yesu kuna Uzima wa milele, utulivu wa Nafsi na faraja kuu. Kama anavyosema ..

Read more

Nakusalimu katika Jina la Yesu Kristo, Bwana wetu. Unapoota umepotea iwe ni njia panda, mjini, shambani, katika riadha ama sehemu yoyote Ile usiyoijua, basi tambua hizo ni ndoto zilizobeba ujumbe kutoka kwa Mungu kwa makundi yote yaani walio okoka na hata wale wasio okoka. Biblia inasemaje kuhusu ndoto hii kwa ambae Hajaokoka Zaburi 37:18-20 18 ..

Read more