Nakusalimu katika jina la mwokozi wetu wetu Yesu Kristo karibu tuyatafakari maneno ya uzima ya Bwana wetu Yesu. Ufunuo 3:19 “Wote niwapendao mimi nawakemea, na kuwarudi; basi uwe na bidii, ukatubu.” Kama Mkristo uliyeokolewa/kukombolewa kwa damu ya thamani ya Yesu Kristo maana yake wewe umefanyika kuwa ni mwana wa Mungu. Yeye ni Baba kwako na ..
Archives : August-2024
Shalom, karibu tujifunze biblia.. Tusome andiko.. [10]Vivyo hivyo nanyi, mtakapokwisha kuyafanya yote mliyoagizwa, semeni, Sisi tu watumwa wasio na faida; tumefanya tu yaliyotupasa kufanya. JIBU Ili tujue sababu za Yesu kumwambia wanafunzi wake maneno hayo anza kusoma mistari ya juu utaona walimuuliza swali kuhusu imani, maana walitaka awaongezee imani… Yesu aliwajibu kwa kuwaambia kama wangekuwa ..
Nakusalimu katika Jina la Yesu Kristo. Tukisoma Mwanzo 28:21 [21]”nami nikirudi kwa amani nyumbani kwa baba yangu, ndipo BWANA atakuwa Mungu wangu.” Katika sura hii tunaoneshwa ugumu wa safari ya Yakobo kuelekea Ugenini nchi ya Baba yake akimkimbia nduguye Esau. Sasa alipokuwa kule jangwani peke yake pasipo msaada, Wala mtu Wala kitu chochote ndipo anaweka ..
Jina la Bwana wetu Yesu Kristo na libarikiwe. Epafrodito alikuwa ni miongoni mwa watendakazi wa makanisa ya huko filipi, na alijulikana kama Mhudumu wa mahitaji ya Mtume Paulo. tunaona ni upendo mkubwa kiasi gani kanisa la filipi linaonesha kwa mtume Paulo alipokuwa Rumi kifungoni. Lilimkumbuka kwa mahitaji Yake ya kifedha, Sasa ndipo anachaguliwa huyu epafrodito ..
Shalom. Karibu tuyatafakari Maneno ya Uzima Zaburi 48:14 [14]”Kwa maana ndivyo alivyo MUNGU, Mungu wetu. Milele na milele Yeye ndiye atakayetuongoza.” Tunaona mwandishi akijivunia sifa ya Mungu wao wa milele. Kwamba ndiye atakayewaongoza katika Mambo yote kwa njia sahihi na ya uzima, njia sahihi ya kupanda, kupigana vita na kujenga lakini kubwa zaidi ni kwamba ..
Nakusalimu katika Jina la Bwana wetu Yesu Kristo. Kitabu Cha filemoni ni miongoni mwa nyaraka zilizoandikwa na Mtume Paulo huko kifungoni Rumi. Waraka huu Paulo aliuandika kwa filemoni mtu aliyegeuzwa na injili yake mtume Paulo. Baadaye filemoni anakuwa mtumishi wa Bwana katika nyumba yake mwenyewe, na kufanyika baraka kwa watakatifu katika kanisa la kolosai Filemoni ..
Bwana Yesu na Asifiwe. Karibu tujifunze Maneno ya Uzima. Tunajifunza nini katika neno hilo ? Jibu tunalipata Zaburi 69:8 “Nimekuwa mgeni kwa ndugu zangu, Na msikwao kwa wana wa mama yangu”. Msikwao ni mgeni kutoka nchi nyingine {Stranger in English}. Mtu kutoka taifa jingine na kwenda taifa jingine lisilo lake ndio anaitwa msikwao. Hivyo anaposema ..
JIBU 1,Wokovu Hakuna namna utamshinda shetani ukiwa nje ya wokovu, kwasababu hata Wana wa Skewa hawakuweza kutoa pepo kwa jina la Yesu kwa sababu hata hao pepo waliwambia Yesu wanamjua na Paulo ,je ninyi ni akina nani? Matendo 19:13 Baadhi ya Wayahudi wenye kutanga-tanga, nao ni wapunga pepo, wakajaribu kutaja jina la Bwana Yesu ..
Shalom karibu tujifunze neno la Mungu. Agano la chumvi ni Agano Gani kama inavyotumika katika 2Nyakati 13:5, Turejee.. 2Nyakati 13:5 “Je! Haikuwapasa kujua ya kwamba Bwana, Mungu wa Israeli, alimpa Daudi ufalme juu ya Israeli milele, yeye na wanawe kwa AGANO LA CHUMVI” Neno hili linaonekana mara tatu katika Biblia Hesabu 18:19, 2Nyakati 13:5 na ..
JIBU, tusome… 1 Timotheo 1:8-10 [8]Lakini twajua ya kuwa sheria ni njema, kama mtu akiitumia kwa njia iliyo halali; [9]akilifahamu neno hili, ya kuwa sheria haimhusu mtu wa haki, bali waasi, na wasio wataratibu, na makafiri, na wenye dhambi, na wanajisi, na wasiomcha Mungu, na wapigao baba zao, na wapigao mama zao, na wauaji, [10]na ..