Archives : October-2024

Uchawi ni jambo lolote linalofanyika nje na nguvu za Mungu, kwa sababu hakuna nguvu nyingine inayofanyika nje na nguvu za Mungu zaidi ya shetani.. Na uchawi umebeba mambo mengi, baadhi yake ni kuloga, kuagua, kutazama utabiri wa nyota, kubashiri, kusihiri, kuabudu sanamu, mambo haya huwaaminisha watu kuwa wanaweza kupata msaada tofaututi na nguvu za Mungu ..

Read more

Shalom nakusalimu katika jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo.  Je? Mtu mwenye kujipendekeza ni mtu wa namna gani? Mithali 29:5Mwenye kujipendekeza kwa jirani yake, Hutandika wavu ili kuitega miguu yake’. Kabla kwenda kuutazama vizuri mstari huu ni vizuri tufahamu nini maana ya kujipendekeza? Kujipendekeza. Ni kitendo cha mtu kumsifia mtu mwingine kwa sifa nyingi ambazo ..

Read more

FAHAMU MAANA YA MITHALI 29:25. Nakusalimu katika Jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo.  Maandiko yanasema.. Mithali 29:25”Kuwaogopa wanadamu huleta mtego;Bali amtumainiye BWANA atakuwa salama.” Je kuwaogopa wanadamu kunaletaje mtego? Na ni mtego gani huo unaweza ukampata mtu kama akiwaogopa wanadamu? Mambo mengi yanayafanya watu kwa hofu ya kuwaogopa watu wanaowazunguka. Na kuwahofu kuwa itakuwaje nisipofanya ..

Read more

Shalom nakusalimu katika jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo. Liko jambo kubwa sana kujifunza kutoka kwa mmoja wa wanafunzi wa Yesu Kristo. Tomaso hakuwa na tabia ya wizi,au usaliti Kama ilivyokuwa kwa Yuda Iskariote lakini iko tabia ambayo alikuwa nayo tofauti kidogo na wenzake. Lakini pia Tomaso alikuwa lazi hata kufa pamoja na Bwana Yesu ..

Read more

Shalom mpendwa karibu tujifunze maneno ya uzima yatokayo kwa Bwana Yesu. Tusome maandiko haya. 1Petro 1:13 “Kwa hiyo vifungeni viuno vya nia zenu, na kuwa na kiasi; mkiitumainia kwa utimilifu ile neema mtakayoletewa katika ufunuo wake Yesu Kristo. 14 Kama watoto wa kutii msijifananishe na tamaa zenu za kwanza za ujinga wenu”. Popote inapozungumziwa katika ..

Read more

Shalom. Nakusalimu katika jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo. Tukisoma katika kitabu cha ufunuo katika sehemu tofauti tofauti/sura neno hili limejirudia rudia zaidi ya mara 2. Ufunuo wa Yohana 2:17 “YEYE ALIYE NA SIKIO, NA ASIKIE neno hili ambalo Roho ayaambia makanisa……” Lakini ukisoma tena.. Ufunuo wa Yohana 2 7 YEYE ALIYE NA SIKIO, na alisikie neno ..

Read more

Shalom karibu tujifunze maneno ya uzima kutoka kwa Bwana wetu yesu kristo. Filipo mhubiri wa injili aliagizwa na malaika wa Bwana aende njia ya jangwani ( Gaza) alipokuwa akielekea huko njiani alikutana na mkushi ( towashi) ili akamhubiria  injili na siku hiyo akabatizwa na kupelekwa eneo lingine.tukisoma maneno ya uzima yanasema. Matendo 8:26 “Malaika wa ..

Read more