Archives : July-2025

Je umetambua kuwa we ni shujaa wa Bwana? Kama wewe ni msomaji mzuri wa biblia, utakuwa unafahamu ile habari ya Gideoni alipoitwa na Bwana, biblia inatuonyesha kuwa Gideoni alikuwa ni shujaa lakini hakujitambua mpaka alipotokewa na malaika wa Mungu na kujulishwa kuwa we ni shujaa. Hebu turejee biblia… Waamuzi 6:11-16 Malaika wa BWANA akaenda akaketi ..

Read more

Je mzizi wa dhambi umekatwa ndani yako? Nakusalimu katika jina la Bwana Yesu Kristo, Karibu tujifunze habari njema za uzima wa roho zetu. Mzizi maana yake ni chanzo cha kuwepo kwa kitu fulani au jambo Fulani, au tatizo fulani. Kwa mfano, ili mti uweze kustawi vizuri na kuzaa matunda ni lazima kuwe na mizizi inayoenda ..

Read more

Fahamu Injili inayopatikana katika mimea chungu. Je unafahamu kuwa kila kitu unachokiona kinahubiri injili ya Yesu Kristo? Shalom, jina kuu tukufu la Bwana Yesu libarikiwe milele na milele. Karibu tujifunze maneno ya uzima. Bwana wetu Yesu alitoa mifano mingi tofauti tofauti ya vitu vya hapa duniani kuelezea/kuhubiri Injili ya ufalme wa Mungu, ukisoma biblia utaona ..

Read more

  Je unafahamu mtego wa manabii wa uongo. Manabii wa uongo wanafanana na BUIBUI. Je unafahamu njia anayoitumia buibui kujipatia chakula? Buibui ni mdudu ambaye huwa anatabia ya kujitengenezea utandu (mtego) kwa lengo la kunasa wadudu wengine wadogo wadogo kama nzi kwa ajili ya chakula. Hivyo mdudu asiyekuwa na nguvu ya kupita kwenye huo mtego..huwa ..

Read more

USIWE NA SHINGO NGUMU Watu wenyewe shingo ngumu ni watu wa namna gani? Hii ni sifa mojawapo ya watu wenye shingo ngumu. 1.Siku zote wanampinga Roho Mtakatifu Matendo ya Mitume 7:51 “Enyi wenye shingo gumu, msiotahiriwa mioyo wala masikio, siku zote mnampinga Roho Mtakatifu; kama baba zenu walivyofanya, na ninyi ni vivyo hivyo.” Katika siku ..

Read more

YESU KRISTO TUMAINI LA UTUKUFU Wakolosai 1:24-24 “Sasa nayafurahia mateso niliyo nayo kwa ajili yenu; tena nayatimiliza katika mwili wangu yale yaliyopungua ya mateso ya Kristo, kwa ajili ya mwili wake, yaani, kanisa lake; [25]ambalo nimefanywa mhudumu wake, sawasawa na uwakili wa Mungu, niliopewa kwa faida yenu, nilitimize neno la Mungu; [26]siri ile iliyofichwa tangu ..

Read more

Je mzigo wako umeondolewa begani mwako? Shalom jina la Bwana libarikiwe. Karibu tujifunze maneno ya Mungu. Biblia inasema katika.. Isaya 10:27 “Tena itakuwa katika siku hiyo mzigo wake utaondoka begani mwako, na nira yake shingoni mwako, nayo nira itaharibiwa, KWA SABABU YA KUTIWA MAFUTA”. Hayo ni maneno ya faraja ambayo Mungu anasema na watu wake ..

Read more

DHAMBI YA KUTOLIPA MADENI INAVYOWEZA KUMPELEKA MTU MOTONI  Kumekuwa na tabia ya wana wa Mungu wengi kukopa pasipo kulipa madeni wanayodaiwa, wengine hudhani ya kwamba wanapotubu tu Mungu anawasamehe madeni ya watu, HAPANA huko ni kujidanganya na kukosa maarifa, mtu anapotubu Mungu anamsamehe yale madeni anayodaiwa na Mungu mwenyewe tu nayo ni madeni ya dhambi ..

Read more

Je! Unayo akili? Kumbukumbu la Torati 32:29 Laiti wangekuwa na akili, hata wakafahamu haya, Ili watafakari mwisho wao. Mtu mwenye akili ni mtu mwenye uwezo wa kufikiri/kupambanua vema na kufanya maamuzi sahihi katika maeneo mbalimbali ya maisha yake. Lakini, je biblia inasemaje kuhusu mtu mwenye akili, biblia inasema.. “.. mtu mwenye akili njia ya uhai ..

Read more