Archives : October-2025

Usiwe miongoni mwa makutano wanaofuata Yesu. Shalom, karibu tujifunze Neno la Mungu.. Kipindi Bwana wetu Yesu alipokuwa hapa duniani, kulikuwa na kundi kubwa la watu waliokuwa wakimfuata, hawa walikuwa tu wanakusanyika kusikiliza mahubiri ya Bwana Yesu ambao mara zote Bwana alikuwa anazungumza nao kwa mifano, na kuwaponya magonjwa yao..baada ya hapo walikuwa wanarejea katika shughuli ..

Read more

Madhara ya kuabudu Sanamu. Sanamu ni kitu chochote kile kinachotengenezwa chenye umbile aidha la malaika wa mbinguni, mwanadamu, mnyama, au mimea…Mwanadamu yoyote anayetengeneza kitu chochote chenye mifano ya hivyo vitu tayari kashatengeneza sanamu. Moja ya amri 10 Mungu alizowapa wana wa Israeli, ilikuwa ni pamoja na kujiepusha na ibada za sanamu za aina yoyote.. Amri ..

Read more

SANAMU ZINAZOTEMBEA Je! Unafahamu kuwa kuna sanamu zinazotembea? (Zizungumzii yale maroboti yanayoendeshwa kwa umeme). Kwa kawaida sanamu yoyote haiwezi kutembea wala kufanya jambo lolote kwasababu haina uhai ndani yake, ni kama jiwe tu. Kweli inaweza kuwa na miguu mizuri lakini haitembei, inaweza kuwa na mikono lakini haishiki, inaweza kuwa na macho mazuri lakini hayaoni, na ..

Read more

USIKUBALI KUTUMAINISHWA KWENYE DHAMBI Jina la Bwana libarikiwe. Karibu tujifunze Biblia.. Hatari kubwa iliyopo katika siku hizi za mwisho ni Kunyanyuka kwa jopo kubwa la Manabii wa Uongo ambao kazi yao ni kuwatumainisha watu waendelee kuishi katika dhambi na mwisho wa siku wakose mbingu… Sasa biblia inapotaja uwepo wa manabii wa uongo, haimaanishi tu manabii ..

Read more

NAMNA YA KUKATA KIU YA DHAMBI MAISHANI MWAKO. Shalom: Nakusalimu kwa jina lipitalo majina yote jina la Bwana Yesu Kristo mkuu wa Uzima. Karibu tujifunze maneno yake ya uzima. Na leo tutaenda kufahamu jinsi ya kukata kiu ya dhambi na kiu ya kila kitu maishani mwetu. Yamkini unatamani kuacha dhambi na unashindwa, unatamani kuacha uzinzi, ..

Read more

MFAHAMU MFALME YOSIA. Shalom: karibu tujifunze biblia kwa kina. Mfalme Yosia ni nani? 2 Wafalme 22:1 “Yosia alikuwa na umri wa miaka minane alipoanza kutawala; akatawala miaka thelathini na mmoja katika Yerusalemu; na jina la mama yake aliitwa Yedida, binti Adaya wa Bozkathi.” Mfalme Yosia ni Moja ya Wafalme 19 waliotawala Yuda, enzi zile za ..

Read more

NI TUMAINI GANI HILI UNALOLITUMAINIA? Jina la mwokozi wetu YESU KRISTO lisifiwe daima, Nakukaribisha ndugu mpendwa tujifunze maandiko. Ikiwa kama mkristo fahamu kuwa kuna wakati watu wanaokuzunguka watataka kujua ni tumaini gani unalolitumainia mpaka unaishi maisha ya kujiamini namna hiyo. Ukiletewa habari ya ugojwa mpya uliozuka hauogopi!, huna hofu na wachawi wala majini, hata hauogopi ..

Read more