Archives : November-2025

Jihadhari usipoteze nafasi ya kuingia mbinguni. (Sehemu ya kwanza) Ni vizuri tufahamu kuwa sio watu wote wanaojulikana kama wakristo wataingia mbinguni! Ni wale tu waliokuwa waaminifu mpaka mwisho ndio watakaongia katika ile mbingu mpya na nchi mpya. Na tunaingia tu kwa neema, lakini ni vizuri tuelewa mapema kuwa hii neema sio kama tunavyodhania kuwa tukishaokolewa ..

Read more

Huu sio wakati utupasao kuja! Katika ukristo ogopa sana ile kauli ya kusema “Huu si wakati”… “Bado kidogo”…. “Wakati wake utafika tu siku moja”… Ogopa sana kauli kama hizo, tena ziogope kuliko ukoma. Mara nyingi watu wengi wanapoangalia mazingira Fulani, wanaona kama vile wakati wake bado, pale mtu unapomuambia biblia inasema “saa ya wokovu ni ..

Read more

Nira yangu ni laini na mzigo wangu ni mwepesi. Shalom; jina la Yesu Kristo libarikiwe. Tunapomwamini Yesu Kristo na kuamua kumfuata kweli kweli tunafanyika kuwa watumwa wake, ndio maana tunamwita “Bwana”. Hivyo unapomwita kama Bwana, jiulize je umejiweka chini yake kama mtumwa? Zifuatazo ni sifa za watumwa. Wamejikana nafsi kweli kweli.Hakuna mtumwa yeyote anayekuwa na ..

Read more

IKO HATUA MOJA TU KATI YA MIMI NA MAUTI 1Samweli 20:3 “Daudi akaapa, akasema, Baba yako anajua sana ya kuwa nimeona kibali machoni pako, naye asema, Yonathani asilijue neno hili, asije akahuzunika; lakini ni kweli, aishivyo BWANA, na iishivyo roho yako, IKO HATUA MOJA TU KATI YA MIMI NA MAUTI”. Ujumbe huu unakuhusu wewe ambaye ..

Read more

Umepewa muda ili utubu Ufunuo wa Yohana 2:20 “Lakini nina neno juu yako, ya kwamba wamridhia yule mwanamke Yezebeli, yeye ajiitaye nabii na kuwafundisha watumishi wangu na kuwapoteza, ili wazini na kula vitu vilivyotolewa sadaka kwa sanamu. [21] NAMI NIMEMPA MUDA ILI ATUBU, WALA HATAKI KUUTUBIA UZINZI WAKE. [22]Tazama, nitamtupa juu ya kitanda, na hao ..

Read more

Nini maana ya kuhesabiwa haki kwa imani? Nakusalimu katika jina la Mwokozi wetu Yesu karibu tuyatafakari maneno ya uzima ya Mwokozi wetu Yesu Kristo. Kama Wakristo ni Muhimu sana kuelewa jambo hili sio katika akili zetu tu basi likawa kama taarifa fulani tu ambayo tunaifahamu maandiko yanasema hivyo lakini jambo hili ni msingi dhabiti sana ..

Read more

MTAFUTE BWANA MAPEMA. 2Mambo ya Nyakati 34:1 “Yosia alikuwa na umri wa miaka minane alipoanza kutawala; akatawala miaka thelathini na mmoja huko Yerusalemu. [2]Akafanya yaliyo mema machoni pa BWANA, akaziendea njia za Daudi babaye, asigeuke kwa kuume wala kwa kushoto. [3]Kwa kuwa katika mwaka wa nane wa kutawala kwake, NAYE AKALI MCHANGA, ALIANZA KUMTAFUTA MUNGU ..

Read more

KESHENI MWOMBE MSIJE MKAINGIA MAJARIBUNI. Jina la Bwana Yesu Kristo libarikiwe. Kuna umuhimu mkubwa sana wa kuwa waombaji ikiwa tumekwisha kuzaliwa mara ya pili. Bwana Yesu alituambia maneno haya “kesheni, mwombe, MSIJE MKAINGIA MAJARIBUNI.” Hilo Neno “msije mkaingia majaribuni” ni neno kubwa sana… Hivi unajua ni kwanini Bwana alisema “hata nywele zetu zote za kichwani ..

Read more