Archives : February-2026

FAHAMU MAPEPO YANAVUTIWA NA NINI KWA MWAMINI? Shalom nakusalimu katika jina la mwokozi wetu karibu tuyatafari maneno ya uzima ya mwokozi wetu Yesu Kristo. Umeshawahi kufikiri ni kwa nini Wakristo wengi wanafanyiwa ukombozi(deliverance) kutoka kwenye vifungo vya adui ilihali hapo awali walikua wameokoka? Hebu tutafakari mstari huu Bwana Yesu anamwambia mwanamke mmoja aliekuwa amekamatwa kwenye ..

Read more

NAYE MWENYE MOYO MKUU MIONGONI MWA MASHUJAA ATAKIMBIA UCHI SIKU ILE. Amosi 2:13 “Tazameni, nitawalemea ninyi, Kama gari lilemeavyo lililojaa miganda. [14]Naye apigaye mbio atapotewa na kimbilio; Wala aliye hodari hataongeza nguvu zake; Wala shujaa hatajiokoa nafsi yake; [15]Wala apindaye upinde hatasimama; Wala aliye mwepesi wa miguu hataokoka; Wala apandaye farasi hatajiokoa nafsi yake; [16]Naye mwenye ..

Read more

NINI HILI ULILOLIFANYA? Nakusalimu katika jina kuu sana lipitalo majina yote la Bwana wetu Yesu Kristo, Nakukaribisha katika kujifunza maneno ya uzima. Tunasoma, kitabu cha mwanzo baada ya Adamu na Hawa kwenda kinyume na maagizo ya Mungu kwa kulila lile tunda, tunasoma Mungu aliwatembelea bustanini wakati wa jioni kama ilivyokuwa kawaida yake, Lakini siku hiyo ..

Read more

FANYA AGANO NA MACHO YAKO Ayubu 31:1 “Nilifanya agano na macho yangu; Basi nawezaje kumwangalia msichana? Ayubu, ingawa alikuwa ameoa, alijua kwamba macho angeweza kuona au kuangalia vitu ambavyo vinaweza kuathiri uhusiano wake na Mungu. Akaamua kuweka agano kati ya yeye na macho yake yasitazame mabaya. Agano ni makubaliano, mkataba wa kisheria baina ya pande mbili. ..

Read more

LABDA WATASIKIA NA KUGHAIRI NJIA ZAO MBAYA. Jina la Bwana Yesu libarikiwe karibu tujifunze habari njema. Kabla Mungu kuleta mabaya kwa mtu au taifa Fulani huwa anatanguliza kwanza kumuonya yule mtu au lile taifa, kwasababu ni Mungu mwenye huruma na upendo hapendi kuwatesa wanadamu. Maombolezo 3:33 “Maana moyo wake hapendi kuwatesa wanadamu.Wala kuwahuzunisha”. Kwasababu hiyo ..

Read more

ROHO YA YEZEBELI IMEBEBA KIBURI. Tabia nyingine ya hii roho ya Yezebeli ukiacha uzinzi, uchawi na unabii wa uongo, tabia nyingine aliyobeba ni kiburi. Roho ya YEZEBELI ina tabia ya kushindana na Roho ya kweli ya Mungu.. Ndio maana utaona Malkia Yezebeli katika Uzinzi wake, na uchawi wake na unabii wake wa uongo, hakuwahi kamwe ..

Read more

LAKINI BWANA HAKUWAPA MOYO WA KUJUA. Kumbukumbu la Torati 29:1 “Musa akawaita Israeli wote akawaambia, Mmeyaona yote BWANA aliyomfanya Farao katika nchi ya Misri mbele ya macho yenu, yeye na watumwa wake wote, na nchi yake yote; [3]yale majaribu makuu yaliyoyaona macho yako; hizo ishara, na ile miujiza mikuu; [4]lakini BWANA hakuwapa moyo wa kujua, ..

Read more

Unawezaje kufahamu mambo ya Rohoni. nakusalimu katika jina la mwokozi wetu Yesu Kristo karibu tuyatafakari katika Makala fupi namna ya kuyafahamu mambo ya Rohoni. Nakuombea neema ya kuelewa katika kila utakachokwenda kujifunza. Wakristo wengi tunatamani sana kuyajua mambo ya rohoni kujua jinsi ulimwengu wa roho unavyofanya kazi nk. Na wakati mwigine tunafikiri ni kazi sana ..

Read more