Archives : February-2026

WATU HAWA NI WATU WA DUNIA HII TU. 1Yohana 4:5 “HAO NI WA DUNIA; kwa hiyo wanena ya dunia na dunia huwasikia [6]Sisi twatokana na Mungu. YEYE AMJUAYE MUNGU ATUSIKIA; YEYE ASIYETOKANA NA MUNGU HATUSIKII. Katika hili twamjua Roho wa kweli, na roho ya upotevu. Ni vizuri tufahamu wana wa Mungu kuwa hapa duniani tupo ..

Read more

Kwanini wengi leo wanashindwa na dhambi ya uasherati? Fahamu mambo manne yanayochochea uzinzi/uasherati ndani ya mtu. Kwanza ni vizuri kufahamu kuwa shetani hana amri au mamlaka ya kumlazimisha mtu afanye uasherati na dhambi zingine kwa ulazima, kama ingekuwa hivyo, basi shetani angehukumiwa mwenyewe katika ziwa la moto,…lakini shetani anachokifanya ni kumshawishi tu mtu aingie mkataba ..

Read more

VAA MAVAZI YA KUJISTIRI  Neno la Mungu linasema.. 1Timotheo 2:9 “Vivyo hivyo wanawake na wajipambe kwa MAVAZI YA KUJISTIRI, pamoja na adabu nzuri, na moyo wa kiasi; si kwa kusuka nywele, wala kwa dhahabu na lulu, wala kwa nguo za thamani; [10]bali kwa matendo mema, kama iwapasavyo wanawake wanaoukiri uchaji wa Mungu”. Ili tujue mavazi ..

Read more

SIKU ILE NI SIKU YA FUJO Ezekieli 7:5 “Bwana MUNGU asema hivi; Ni jambo baya, jambo baya la namna ya peke yake; angalia, linakuja. [6]Mwisho umekuja, mwisho huu umekuja; unaamka ukupate; angalia, unakuja. [7]Ajali yako imekujia, wewe ukaaye katika nchi hii; majira yamewadia, siku ile inakaribia; SIKU YA FUJO, wala si ya shangwe milimani. [12]Majira ..

Read more

THE SIN OF LYING  𝐁𝐞𝐥𝐨𝐯𝐞𝐝, 𝗘𝘃𝗲𝗿𝘆 𝗟𝗶𝗲 𝗜𝘀 𝗮 𝗧𝗶𝗰𝗸𝗲𝘁 𝘁𝗼 𝗛𝗲𝗹𝗹. Lying is alarmingly common; even among professing believers… yet Scripture is clear: 𝐥𝐲𝐢𝐧𝐠 𝐢𝐬 𝐭𝐡𝐞 𝐧𝐚𝐭𝐮𝐫𝐞 𝐨𝐟 𝐒𝐚𝐭𝐚𝐧, not the life of Christ. Jesus said.. “I am the way, 𝐭𝐡𝐞 𝐭𝐫𝐮𝐭𝐡, and the life” (John 14:6). While the devil “𝐚𝐛𝐨𝐝𝐞 𝐧𝐨𝐭 𝐢𝐧 𝐭𝐡𝐞 ..

Read more

Na vitu ulivyojiwekea tayari vitakuwa vya nani? Jina la Bwana Yesu Kristo libarikiwe, karibu tujifunze maneno ya uzima. Kabla hutujaendelea mbele hebu tafakari haya.. >Je! tumaini lako lipo wapi? >Je! uzima wako upo wapi? >Je! Hazina yako ipo wapi? >Je umejitajirisha kwa nani? Bila shaka majibu unayo mwenyewe.. Lakini hekima ya Mungu inatushaurije.. Luka 12:16-21 ..

Read more

NAJA KAMA MWIVI KESHENI Maandiko yanatufundisha kuwa Bwana YESU atakuja kama “Mwivi”.. Ufunuo 16:15 “(Tazama, naja kama mwivi. Heri akeshaye, na kuyatunza mavazi yake, asiende uchi hata watu wakaione aibu yake)” 1Wathesalonike 5:1-3 Lakini, ndugu, kwa habari ya nyakati na majira, hamna haja niwaandikie. [2]Maana ninyi wenyewe mnajua yakini ya kuwa siku ya Bwana yaja ..

Read more