Utukufu kwa Bwana Wetu Yesu Kristo,aliyetupa neema ya kutafakari Maneno yake ya uzima.. Yamkini umekuwa ukijiuliza sana kwanini maandiko yaseme damu ya Yesu Kristo inanena mema kuliko ile ya habili, na leo kwa Neema za Bwana tutaangazia.. Kama ni msomaji wa maandiko utakuwa unaelewa habari ya kaini na Ndugu yake habili, jinsi dhambi ya wivu ..
Author : magdalena kessy
Karibu tujifunze Maneno ya uzima ya mwokozi wetu Yesu Kristo. Pengine ulishawahi kujiuliza hili jambo na usipate majibu kamili, au lilishawahi kukuletea sintofahamu ndani yako, ni kuhusiana na damu ya Yesu na jina la Yesu,zidi kusoma nakala hii ikupe uelewa zaidi wa kimaandiko.. Ni sawa tuchukulie uhalisia wa maisha ya kawaida tu, hakuna mtu asiyekuwa ..
Jina la Bwana Wetu Yesu Kristo lizidi kutukuzwa milele, karibu tujifunze Neno la Mungu, Hili ni jambo la muhimu na kuu kulijua sana wewe ambaye ni mwanadamu na unavuta pumzi ambayo hatutoi malipo yoyote au kuigharamia kwa chochote, Jambo la kumfahamu Yesu Kristo ni la umuhimu kwetu kwasababu yeye ndiye chanzo cha ukombozi wetu, kuishi ..
Ni siku nyingine Bwana ametupa tuyatafakari Maneno yake, karibu.. JIBU Ukisoma maandiko kwenye kitabu cha Isaya,utagundua unabii alioutoa nabii isaya kuhusu jina la mkombozi atakayekuja ulimwengu lilikuwa ni Imanueli (Isaya 7:14) kuonyesha kwamba ni lazima litimie hilo, kwasababu maandiko hayawezi kusema uongo.. Lakini tuendelee kusoma zaidi ili tuzidi kujifunza kama wanafunzi wanaotamani kupata uelewa.. Tusome ..
Shalom, karibu tujifunze Neno la Mungu wetu ambalo ndilo taa yetu.. Hakuna jambo kubwa na la muhimu kama hatma yako ya mwisho ni nini, wengi tumekuwa tukichezea maisha yetu, kwa kufanya tunayoyataka, ila kiuhalisia sivyo Mungu anavyotaka tuwe, kumbuka maisha unayoyaishi leo ndio jawabu la kesho yako jinsi litakavyokuwa, huna budi kujitafakari sana kila wakati ..
Shalom mwana wa Mungu, Wewe kama mwana wa Mungu lazima ufahamu kuna umuhimu mkubwa wa kuwa na ushirika, na ushirika unatokana na kushiriki Katika Mambo fulani, na ili ushirika ule ulete matokeo ni lazima uambukizwe aina ya sifa au tabia ya kile unachoshiriki nacho kwa wakati… Ikiwa kuna ushirika unaleta sifa njema, basi fahamu ..
Shalom, karibu tujifunze Neno la Mungu, Ulishawahi kujiuliza maana ya hili neno na asili yake ni nini, jehanamu ni neno lenye asili ya kiyunani lenye chimbuko la neno Gehenna ambapo sasa kwa asili ya kiyahudi ni ge-hinnom Lenye maana ya bonde la Mwana wa hinomu, eneo hili lilikuwa kusini mwa Yerusalemu na kujulikana kama ,Toffethi, ..
JIBU, Watu wengi wamekuwa na imani hii kwamba kuna uwezakano wa kumtoa mtu kuzimu (kwenye mateso) kwa kumuombea, jambo ambalo halina ukweli wowote kulingana na maandiko, kwasababu kama hilo linawezekana basi pia kuna uwezakano wa kumtoa mwenye haki kwenye paradiso, Kama jambo hilo la kumtoa mwenye haki paradiso haliwezekani basi fahamu kabisa na maombi ..
Shalom, Karibu tujifunze Neno la Mungu.. Kuzimu ni sehemu mbaya sana na yenye mateso makali yasiyoelezeka, ni mangojeo ya wale wote waliokufa kwenye dhambi, waliomkataa Bwana Yesu mioyo mwao, sasa wakifa ndipo wanapelekwa kuzimu, ni mahali ambapo hutamani hata adui yako awepo huko kwa hayo mateso yake.. Tunasoma hapa, Marko 9:43 “Na mkono wako ..
Shalom, karibu tujifunze Maneno ya Uzima ya Mwokozi Wetu Yesu Kristo.. SWALI: Naomba kufahamu, je upo uthibitisho wowote wa mateso ya kuzimu kwa wale watakaokufa Katika dhambi, Hebu tusome.. Luka 16:22 “Ikawa yule maskini alikufa, akachukuliwa na malaika mpaka kifuani kwa Ibrahimu. Yule tajiri naye akafa, akazikwa. 23 Basi, kule kuzimu aliyainua macho yake, ..