Kuna maswali ambayo yamekuwa yanaulizwa kuhusu zaka, haya ni maswali 8 ambayo yanaulizwa sana 1.Nani anayetakiwa kutoa fungu la kumi? 2.Fungu la kumi linatolewa katika mtaji au faida? 3.Zawadi tunazopokea tunapaswa kuzitolea fungu la kumi? 4.Fedha ya mkopo inatakuwa kutolewa fungu la kumi? 5.Ikiwa mshahara wangu ni milioni moja lakini kuna makato ya serikali ..
Author : magdalena kessy
Je sadaka ya kinywaji ipoje? Katika agano la kale ‘Divai’ peke yake ndiyo ilikuwa sadaka ya kimiminika iliyotolewa mbele ya Mungu.. Walawi 23:13 “Na sadaka yake ya unga itakuwa sehemu za kumi mbili za efa za unga mwembamba uliochanganywa na mafuta, ni kafara iliyosongezwa kwa Bwana kwa moto kuwa harufu ya kupendeza; na SADAKA YAKE ..
Je sadaka ya moyo ipoje? Tusome, Walawi 22:21 “Na mtu awaye yote atakayemtolea BWANA dhabihu katika sadaka za amani, ili kuondoa nadhiri, au SADAKA YA MOYO WA KUPENDA, katika ng’ombe, au katika kondoo, atakuwa mkamilifu, apate kukubaliwa; pasiwe na kilema ndani yake cho chote”. Sadaka ya moyo wa kupenda ni sadaka iliyotolewa na wana ..
Shalom, karibu tujifunze neno la Mungu ambalo ndilo mwanga wa njia zetu na taa ya miguu yetu (Zaburi 119:105) Ni muhimu sana kutoa sadaka, kwa kulitambua hilo shetani anatumia njia tofauti tofauti ili kuzuia watu wasitoe sadaka maana anatambua nguvu iliyo ndani ya sadaka.. Njia mojawapo anayotumia ni kuinua watu ambao wanalitumia vibaya neno ..
Bwana wetu Yesu Kristo Mwokozi wa ulimwengu Apewe sifa daima, karibu katika darasa la maarifa ya kiMungu tujifunze biblia..Neno la Mungu wetu ambalo ndio mwanga wa njia zetu na taa ya miguu yetu Zab 119:105.. Siku ya leo tutaenda kujifunza kwa ufupi kuhusu kutoa Zaka au fungu la kumi, Katika biblia Zaka ni sehemu ..
SWALI.. Kwa nini Mungu aliikataa sadaka ya mazao kutoka kwa kaini na akaikubali sadaka ya wanyama kutoka kwa Habili? Je wanyama ni bora kuliko mazao mbele za Mungu? JIBU..Tusome Mwanzo 4:4 “Habili naye akaleta wazao wa kwanza wa wanyama wake na sehemu zilizonona za wanyama. Bwana akamtakabali Habili na sadaka yake; 5 bali Kaini hakumtakabali, wala sadaka yake. ..
SWALI…Kwa nini tunatoa sadaka? Kuna muhimu gani wa kutoa sadaka? Je ni dhambi usipotoa sadaka? JIBU..Kutoa ni wajibu wa kila mtu aliyemwamini Kristo iwe ni kutoa sadaka au kitu kingine chochote. Mtu asiyetoa bado hajabadilishwa moyo wake na maisha yake yapo mbali na Mungu. Sisi tunatoa sadaka kwa sababu hata tulivyonavyo tumepewa na ..
Bwana Yesu Kristo asifiwe, karibu tujifunze maandiko Matakatifu ili tuzidi kumjua Mungu wetu katika kila namna.. ingali bado tunapumua. Siku ya leo tutaenda kujifunza umuhimu wa kumtolea Mungu sadaka isiyo na kasoro yoyote.. Upo umuhimu mkubwa sana wa kumtolea Mungu vitu vyenye hadhi ya hali ya juu ambavyo vinamgharimu mtu hadi kuvitoa. Tusitoe tu ..
Shalom: Jina la Bwana Yesu Kristo Mkuu wa Uzima libarikiwe; Karibu katika darasa fupi tujifunze baadhi ya mambo ambayo yanapuuziwa na kuchukuliwa kirahisi na Watu wengi ila ni mambo makuu sana katika kukuza Imani..japokuwa yanaonekana ni madogo. Ipo tofauti kati ya sadaka na msaada. Wakati ambao unajitoa kuwasaidia wasiojiweza hapo unatoa msaada, na Mungu ..
SWALI, Bwana Yesu alimaanisha nini aliposema “Utoapo sadaka mkono wako wa kulia usijue ufanyalo mkono wako wa kushoto” JIBU, Hebu tusome kwanza hiyo habari katika kitabu cha Mathayo 6:1-4 Mathayo 6:1“ Angalieni msifanye wema wenu machoni pa watu, kusudi mtazamwe na wao; kwa maana mkifanya kama hayo, hampati thawabu kwa Baba yenu aliye mbinguni. ..