Isaya 59:5[5]Huangua mayai ya fira, na kusuka wavu wa buibui; yeye alaye mayai yao hufa, na hilo livunjwalo hutoka nyoka. Mstari huu humaanisha asili ya watu wabaya. Anasema huangua mayai ya fira. Fira Kwa Kiswahili kingine ni swila au Kwa lugha inayo tambulika na wengi ni kobra ni aina ya jamii ya nyoka wenywe sumu ..
Author : Paul Elias
Ili tuweze kuelewa vizuri Habari hii hatuna budi kusoma kuanzia juu kidogo. Tukisoma hiyo mistari ya hapo juu tutapata kuelewa vizuri. Mathayo 15: 21 “Yesu akaondoka huko, akaenda kando pande za Tiro na Sidoni. 22 Na tazama, mwanamke Mkananayo wa mipaka ile akatokea, akampazia sauti akisema, Unirehemu, Bwana, Mwana wa Daudi; binti yangu amepagawa sana na ..
Shalom!, Nakusalimu katika jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo. Katika ulimwengu huu tunaoishi wanadamu Kuna falme kuu mbili, yaani Ufalme wa Nuru na ufalme wa giza. Na ufalme wa Nuru ndio Roho ya Mungu. na ufalme wa giza ni roho ya ibilisi yaani roho ya Dunia. Sasa hakuna mwanadamu ambae yupo katikati kwamba yeye hayuko ..
Lugha iliyotumika katika uandishi wa Biblia ni Kiswahili cha zamani ambacho ni kigumu kidogo kukielewa na ndio maana mstari huu unakuwa ni mgumu kueleweka hasa kwa mtu anaesoma toleo moja tu la Biblia. Sasa ili kupata maana nyepesi zaidi kueleweka tukisoma Amplified Bible inaeleza vizuri zaidi hebu tusome. Proverbs 15:27[27]He who is greedy for unjust ..
Bwana Yesu asifiwe ndugu katika Kristo Yesu karibu tuyatafakari maneno ya uzima. Kama mwamini uliyemuamini Yesu Kristo kweli kweli na kusimama thabiti katika imani kwa muda mrefu na Kristo ziko dalili ambazo ukiziona hizo ndani yako jua kabisa kama usipokuwa makini na kutaka kupiga hatua mbele jua kabisa unakwenda kuanguka tena anguko kubwa sana. Tutakwenda ..
Shalom!, Nakusalimu katika jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo. Mstari huu ukiusoma kwa makini unatufundisha mambo makuu mawili ambayo Kuna makundi mawili ya watu walioko hapa duniani. Na tutaangalia kundi moja baada ya lingine. Kundi la kwanza ni kundi la Watakatifu. Hili ni kundi la watu lililomuamini Yesu Kristo au lililoamua kuyasalimisha maisha yake kwa ..
Shalom, Nakusalimu katika jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo. Tafsiri ya neno “kutuhudhurisha” maana yake ni “kutusogeza karibu na jambo fulani au kitu fulani .” Maana yake ni kwamba chakula sisi tunachokula tunachokula na kinaenda kutupa nguvu katika miili yetu hakitusogezi karibu na Mungu wala kutuweka mbali na Mungu la!. Huwezi kula chakula kingi au ..
Shalom!, Nakusalimu katika jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo. Maneno haya aliyazungumza Bwana Yesu kwa wanafunzi wako kuwaonya juu ya mambo yatakayotokea katika nyakati walizokuwepo baada ya yeye kuondoka lakini maneno hayo yanadhihirika kwa kasi ya ajabu hata kwetu sisi katika nyakati hizi za Mwisho hebu tusome. Luka 17:22 “Akawaambia wanafunzi, Siku zitakuja mtakapotamani kuona ..
Shalom!, mwana wa Mungu nakusalimu katika jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo karibu tujifunze na kuyatafakari maneno ya uzima. Swali hili limekuwa likiulizwa mara nyingi sana na wakati mwingine ni kama vile linakosa majibu.Ni swali ambalo lina watu wanaokubali ndio Adamu na Hawa walikuwa na uzima wa milele. Lakini kuna kundi lingine linalokataa kuwa Adamu ..
Shalom!, Nakusalimu katika jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo. Kama tunavyosoma katika maandiko Neno “MBWA” linamaanisha “Mwanaume anaejiuza au anaeuza mwili wake” mwanaume anaeuza mwili wake aidha kwa wanawake au kwa wanaume wenzake yaani SHOGA. ukisoma kwenye Biblia ya kiingereza “Amplified Bible ” imeeleza vyema hebu tusome. Deuteronomy 23:18[18]You shall not bring the hire of ..