Kibiblia hakuna dhambi kubwa kuliko nyingine kwasababu dhambi zote zina malipo sawa nayo ni mauti. Warumi 6:23 Kwa maana mshahara wa dhambi ni mauti; bali karama ya Mungu ni uzima wa milele katika Kristo Yesu Bwana wetu. Hii ikiwa na maana kama ulikufa kwa dhambi ya kuzini na mwingine akafa kwa dhambi ya kuua watu ..
Author : watakatifuwasikuzamwisho
SWALI: Ikiwa Ubatizo wa maji, uliletwa na Yohana kwa mara ya kwanza, na yeye ndiye aliyekuwa akiwabatiza watu wote. Swali linakuja je! Yeye naye alibatizwa na nani? Jibu ni kuwa hatufahamu mtu husika aliyembatiza, lakini ni wazi kuwa na yeye pia “alibatizwa”. Pengine na mmoja ya wanafunzi wake ,. Lakini unaweza kuuliza ni kigezo gani, ..
Hili ni swali linaloulizwa na watu wengi, kwamba siku ile Kaini alipomuua ndugu yake Habili, biblia inasema alikimbilia nchi ya Nodi. Lakini swali linakuja huko Nodi alitolea wapi mke, wakati kipindi hicho dunia ilikuwa bado haina watu, isipokuwa ni Adamu, Hawa, pamoja na Kaini na Habili peke yao? Mwanzo 4:13 “Kaini akamwambia Bwana, Adhabu yangu ..