Category : Biblia kwa kina

Upo karibu na Yesu? Jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo lihimidiwe Karibu tuyatafakari maneno ya uzima! Sio Wakristo wote wako karibu na Yesu Kristo au wanaushirika wa karibu naye. Kil Mkristo alieokoka ana Yesu ndani yake(Roho Mtakatifu) lakini si kila Mkristo ana ushirika wa karibu sana na Yesu Kristo. Kuwa karibu na Yesu Kristo sio ..

Read more

  JE! UMEUONA USO WA MUNGU? Jina la Bwana Yesu mwokozi wa ulimwengu libarikiwe. Karibu tujifunze biblia, Neno la Mungu lililo taa ya miguu yetu, Na mwanga wa njia zetu (Zaburi 119:105). Leo kwa neema za Mungu tutajifunza maana halisi ya kuuona uso wa Mungu na umuhimu wake. Je! tunaweza tukauona uso wa Mungu? Mbona ..

Read more

  USIVAE MAVAZI YA KIGENI. Sefania 1:8 “Na itakuwa, katika siku ile ya dhabihu ya BWANA, nitawaadhibu wakuu, na wana wa mfalme, na watu wote WALIOVA MAVAZI YA KIGENI.” Katika ukiristo mavazi ya kigeni ni yapi? Neno la Mungu linasema.. Mathayo12:33 “Ufanyeni mti kuwa mzuri na matunda yake kuwa mazuri; au ufanyeni mti kuwa mbaya ..

Read more

Na uzima wa milele ndio huu. Nakusalimu katika Jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo karibu tuyatafakari maneno ya uzima. ” Huwezi kufurahia maisha ya wokovu (kuona furaha ya wokovu usipomfahamu Kristo kwa upana zaidi) utaona wokovu wako ni kawaida tu nk” Ili uweze kupiga hatua kila siku ya kiroho ni lazima ujifunze kuyatafakari maandiko. Unaweza ..

Read more

Fahamu siri iliyopo katika Neno la Mungu. Nakusalimu katika Jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo Karibu tuyatafakari maneno ya uzima. Sehemu ya pili 02(Mwisho wa somo hili). Katika somo lililopita tulijifunza tukaona Neno la Mungu ni nini? Tuliona kuwa Neno la Mungu ni Mungu mwenyewe, ni uzima,ndio lililoumba vitu vyote vinavyoonekana na visivyoonekana. Lakini leo ..

Read more

  Fahamu siri iliyopo katika Neno la Mungu. Sehemu 01 Nakusalimu katika Jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo Karibu tuyatafakari maneno ya uzima. Tunakuwa ni wazito wa kusoma maandiko ni kwa sababu hatujui uweza au nguvu iliyoko katika maandiko/Neno la Mungu. Wengi wetu tunasoma tu kama sehemu ya Ukristo wetu na tunajikuta hakuna kitu kikubwa ..

Read more

Unataka Mungu akutumie? Jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo litukuzwe karibu tuyatafakari maneno ya uzima. Ukweli ni kwamba Mungu anatamani sana kufanya kazi na sisi na sisi pia tunatamani sana kufanya kazi na Mungu na ajidhihirishe kwetu ulimwengu umgeukia kama libido cha baba zetu(Mitume) lakini kuna mambo ambayo yanamzuia Mungu kufanya kazi kikamilifu na sisi. ..

Read more

Usimtafute Yesu kwasababu ya faida zako tu!. Bwana Yesu Kristo asifiwe mwana wa Mungu. Karibu tujifunze maneno ya Mungu.. Watu wengi leo wamechoka kwa kuhangaika huku na huku kwa watumishi wa Mungu wakitafuta suluhisho la matatizo yao pasipo kufanikiwa…Mpaka wengine wamesafiri umbali mrefu wakitafuta kuponywa na kufunguliwa katika vifungo mbali mbali, Ila bado hawaoni matokeo ..

Read more

Ni nini unachokiona kwa Yesu?. Jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo lihimidiwe Karibu tuyatafakari maneno ya uzima. Je! Yesu Kristo katika maisha yako unamtazama kama nani? Na ni nini unachokiona na kukitaka kwa Yesu Kristo? Wengi wetu tutasema Yesu Kristo tunamtazama kama Mwokozi, tutasema tunachokiona kwake ni ukombozi,tutasema tunachokiona na tunataka atufanyie nini hapa ndio ..

Read more