TUSILEWE KWA MVINYO BALI TUJAZWE ROHO Neno la Mungu linasema katika.. Waefeso 5:18 “Tena msilewe kwa mvinyo, ambamo mna ufisadi; bali mjazwe Roho;“ Katika biblia, mtu ambaye amejazwa Roho Mtakatifu anaonekana kama mlevi, kwasababu ya tabia zake kufanana na tabia za walevi. Hebu tusome maandiko yafuatayo ili tulithibitishe hili. Matendo ya Mitume 2:1 Hata ilipotimia ..
Category : Biblia kwa kina
Fahamu wajibu wako kama kuhani wa Mungu Nakusalimu katika jina la mwokozi wetu Yesu Kristo karibu tuyatafakari maneno ya uzima ya mwokozi wetu. Katika agano jipya kila mtu amefanyika kuwa ni kuhani, na Yesu Kristo ndio kuhani wetu wetu mkuu kama jinsi maandiko yanavyo sema. 1 Petro 2:9-10 “Bali ninyi ni mzao mteule, ukuhani wa ..
USIKUBALI KUPOTEZEWA MUDA Kati ya jambo ambalo unapaswa kuzingatia sana katika safari yako ya wokovu na hata katika maisha haya ni kitu kinachoitwa MUDA, ukweli ni kwamba muda ni kitu pekee ambacho kina thamani zaidi ya kila kitu..hapa duniani. Hakuna mtu aliyewahi kununua muda hata sekunde moja, haijalishi atakusanya fedha kutoka kwenye mabengi yote duniani, ..
Nakusalimu katika jina la Mkuu wa uzima Yesu Kristo karibu tuyatafakari maneno ya uzima. Kuoka ni Mwanzo wa kuwa na mahusiano mazuri na Mungu, lakini jambo la kusikitisha watu wengi wanaishia kuokoka peke yake tu. Na wanashindwa kuwa na mahusiano ya karibu na Bwana Yesu. “Shetani haogopi wokovu ulionao, Shetani anaogopa mahusiano yako wewe na ..
Usikubali kuvuliwa Mavazi na Ibilisi Shalom mtu wa Mungu.. jina la Bwana Yesu Kristo libarikiwe sana. Karibu tuongeze ufahamu katika Elimu ya ufalme wa Mungu. Maandiko yanasema katika.. Wakorintho 2: 9 ”Maana naliandika kwa sababu hii pia, ili nipate bayana kwenu kwamba mmekuwa wenye kutii katika mambo yote. [11] Shetani asije akapata kutushinda; KWA MAANA ..
Tafuta kwa bidii kuwa na nguvu za rohoni. Shalom, Nakusalimu katika jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo Karibu tuyatafakari maneno ya uzima. Ili Mkristo aweze kuleta mabadiliko kwake yeye,kwa jamii inayomzunguka na katika ufalme wa Mungu katika mambo ya Muhimu sana anatakiwa kuwa nayo basi ni kuwa na nguvu nyingi za rohoni. Nguvu za rohoni ..
Iweke sadaka yako juu ya mwamba halisi. Shalom mtu wa Mungu.. Bwana Yesu Kristo asifiwe. Ni siku nyingine tena Bwana ametupa neema ya kuendelea kuona jua lake.. utukufu na heshima ni zake milele. Karibu tujifunze Neno lake ambalo ni mwanga wa njia zetu. Na siku ya leo tutajifunza somo linalohusu sadaka, ikiwa utahitaji kufahamu zaidi ..
Kwanini ni lazima kuzaliwa mara ya pili? Yohana 3:3 “Yesu akajibu, akamwambia, Amin, amin, nakuambia, Mtu asipozaliwa mara ya pili, hawezi kuuona ufalme wa Mungu.” Hapo maandiko yanatupa jibu la moja kwa moja kwamba mtu asipozaliwa mara ya pili hawezi kuona ufalme wa Mungu. Ndio maana ni lazima kuzaliwa mara ya pili. Sasa, kabla hatujaona ..
Je umetambua kuwa we ni shujaa wa Bwana? Kama wewe ni msomaji mzuri wa biblia, utakuwa unafahamu ile habari ya Gideoni alipoitwa na Bwana, biblia inatuonyesha kuwa Gideoni alikuwa ni shujaa lakini hakujitambua mpaka alipotokewa na malaika wa Mungu na kujulishwa kuwa we ni shujaa. Hebu turejee biblia… Waamuzi 6:11-16 Malaika wa BWANA akaenda akaketi ..
Fahamu Injili inayopatikana katika mimea chungu. Je unafahamu kuwa kila kitu unachokiona kinahubiri injili ya Yesu Kristo? Shalom, jina kuu tukufu la Bwana Yesu libarikiwe milele na milele. Karibu tujifunze maneno ya uzima. Bwana wetu Yesu alitoa mifano mingi tofauti tofauti ya vitu vya hapa duniani kuelezea/kuhubiri Injili ya ufalme wa Mungu, ukisoma biblia utaona ..