Category : Biblia kwa kina

  Je unafahamu mtego wa manabii wa uongo. Manabii wa uongo wanafanana na BUIBUI. Je unafahamu njia anayoitumia buibui kujipatia chakula? Buibui ni mdudu ambaye huwa anatabia ya kujitengenezea utandu (mtego) kwa lengo la kunasa wadudu wengine wadogo wadogo kama nzi kwa ajili ya chakula. Hivyo mdudu asiyekuwa na nguvu ya kupita kwenye huo mtego..huwa ..

Read more

Je mzigo wako umeondolewa begani mwako? Shalom jina la Bwana libarikiwe. Karibu tujifunze maneno ya Mungu. Biblia inasema katika.. Isaya 10:27 “Tena itakuwa katika siku hiyo mzigo wake utaondoka begani mwako, na nira yake shingoni mwako, nayo nira itaharibiwa, KWA SABABU YA KUTIWA MAFUTA”. Hayo ni maneno ya faraja ambayo Mungu anasema na watu wake ..

Read more

Je! Unayo akili? Kumbukumbu la Torati 32:29 Laiti wangekuwa na akili, hata wakafahamu haya, Ili watafakari mwisho wao. Mtu mwenye akili ni mtu mwenye uwezo wa kufikiri/kupambanua vema na kufanya maamuzi sahihi katika maeneo mbalimbali ya maisha yake. Lakini, je biblia inasemaje kuhusu mtu mwenye akili, biblia inasema.. “.. mtu mwenye akili njia ya uhai ..

Read more

Tafuta kukaa uweponi mwa Mungu daima. Shalom! Nakusalimu katika Jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo Karibu tuyatafakari maneno ya uzima. Uwepo wa Mungu upo pamoja nasi siku zote na kila mtu alieokoka anao uwepo wa Mungu kwa sababu anae Roho wa Mungu ndani yake. Lakini si kila Mkristo anakaa ndani ya uwepo wa Mungu, uwepo ..

Read more

USITIE MACHUKIZO NDANI YA NYUMBA YAKO Kumbukumbu la Torati 7:26 ”na machukizo usitie ndani ya nyumba yako, usije wewe kuwa kitu cha haramu mfano wake; ukichukie kabisa, na kukikataa kabisa; kwa kuwa ni kitu kilichoharimishwa”. Machukizo ni nini? Machukizo inatokana na neno “chukizo” na chukizo ni kitu kinachosababisha chuki/hasira. Kwa Mungu kitu chochote kinachoipandisha ghadhabu ..

Read more

TUMEANDALIWA NCHI NZURI YA KUMETA META Mtunzi wa tenzi namba 143, katika ule ubeti wa kwanza anaimba akisema.. “Nchi nzuri yametameta, Huonekana kule mbali, Naye Yesu hutuongoza. Tukafike na sisi huko”. Je! na wewe unaiona ile nchi nzuri ya kumeta meta mbele yako? Kuna nchi nzuri ambayo Bwana ametuandalia mbele, hiyo nchi ni nchi yenye ..

Read more

SISI NI TAIFA TEULE LA MUNGU. 1 Petro 2:9-10 “Bali ninyi ni mzao mteule, ukuhani wa kifalme, TAIFA TAKATIFU, watu wa milki ya Mungu, mpate kuzitangaza fadhili zake yeye aliyewaita mtoke gizani mkaingie katika nuru yake ya ajabu; [10]ninyi mliokuwa kwanza si taifa, BALI SASA NI TAIFA LA MUNGU; mliokuwa hamkupata rehema, bali sasa mmepata ..

Read more

BALI ALIELEKEZA USO WAKE JANGWANI Jina la Bwana Yesu Kristo Mkuu wa uzima na Mfalme wa Wafalme libarkiwe daima. Karibu tujifunze maneno ya uzima. Kama wewe ni msomaji mzuri wa biblia, bila shaka utakuwa unaifahamu ile habari ya Balaamu na wana wa Israeli jangwani. Sasa pamoja na mengi mabaya ambayo hatupaswi kujifunza kwake, lipo jambo ..

Read more

Kaa mahali ambapo Mungu amekusudia uwepo!. Shalom nakusalimu katika jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo Karibu tuyatafakari maneno ya uzima. Mahali ambapo Mungu amepakusudia kwa kila mtoto wake kukaa na kukuzwa ni sehemu moja tu nayo inaitwa kanisa. Agenda au mkakati wa Mungu kukutengeneza na kukuimarisha kiroho lakini pamoja na kuwakomboa watu kutoka gizani na ..

Read more