Hauko hapa duniani kwa bahati mbaya Shalom nakusalimu katika jina la Yesu Kristo Karibu tuyatafakari maneno ya uzima. Hakuna mwanadamu anaeishi hapa duniani kwa bahati mbaya yaani kama ajali tu akajikuta yupo la! Kila mmoja duniani hapa haijalishi alipatikana kwa njia gani lakini hayupo kwa bahati mbaya. Ikiwa umeokoka upo ndani ya Yesu Kristo basi ..
Category : Biblia kwa kina
WIVU ANAOUTAKA BWANA Jina kuu tukufu la Bwana Yesu Kristo Mkuu wa wafalme wa dunia libarikiwe milele na milele. Karibu tujifunze biblia Neno la Mungu wetu. Siku ya leo kwa neema za Bwana, tutajifunza wivu anaoutaka Bwana tuwe nayo, nikisema wivu anaoutaka Bwana maana yake kuna wivu asioutaka. Sasa kabla hatujafahamu wivu anaoutaka Bwana, hebu ..
Fahamu Maana halisi ya Kuabudu. Shalom, Nakusalimu katika jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo Karibu tuyatafakari maneno ya uzima. Kuabudu ni Neno ambalo limezoeleka kwa Wakristo wengi sana. Karibu Wakristo wote wanalisema neno hili. Wachungaji, waimbaji wa nyimbo za injili, nk lakini wengi haswa hawafahamu/hatufahamu maana halisi ya Neno hili “ Kuabudu ” ni neno ambalo ..
Lifanye Neno la Mungu kuwa tiba ndani ya roho yako na mwili wako. Shalom, Nakusalimu katika jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo Karibu tuyatafakari maneno ya uzima. Zaburi 107:20 “Hulituma neno lake, huwaponya, Huwatoa katika maangamizo yao.” Neno la Mungu ni tiba kwa mwanadamu(maana aliumbwa kwa hilo yaani Neno la Mungu/Mungu mwenyewe) ni neno ambalo ..
JIWE LILILO HAI Jiwe lililo hai ni lipi? Bwana Yesu asifiwe mtu wa Mungu. Karibu tujifunze biblia…Neno la Mungu wetu lililo Taa na Mwanga wa njia zetu (Zab 119:105) Kwa kawaida hakuna jiwe lililo na uhai kwa asili yake … maana halina uhai ndani yake (non-living) ila lipo jiwe moja ambalo linatajwa katika biblia ambalo ..
Je! umeweka kweli nia kumtafuta Bwana. Kama we ni msomaji wa biblia utafahamu kuwa kuna kipindi Israeli iligawanyika na kuwa na pande mbili yaani upande wa kaskazini ambako kulikuwepo na yale makabila 10 chini ya Yeroboamu na lile la Yuda na Benjamini ambalo lilikuwepo upande wa kusini chini ya Rehoboamu, leo hatutazungumzia kwa urefu kuhusu ..
Mtu akiipenda dunia kumpenda Baba hakumo ndani yake. Nakusalimu katika jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo karibu tuyatafakari maneno ya uzima. Tofauti na inavyodhaniwa na watu wengi kuwa mstari huu unawazungumzia Watu ambao hawajaokoka, la! Mstari huu ni mahususi kabisa na kwa watu ambao tayari wameshamwamini Yesu Kristo. Walaka huu unamhusu Mkristo yeyote ulimwenguni ..
ILE SAFINA IKAELEA JUU YA USO WA MAJI. Jina la Bwana Yesu Kristo libarikiwe. Karibu tujifunze maneno ya uzima. Je! Umewahi kutafakari ni kwanini ile safina ya Nuhu ambayo ilikuwa imebeba wanyama mbali mbali haikuzama japokuwa walikuwepo wanyama wazito kama tembo, twiga, ngamia n.k, ? Maandiko yanasema ile safina ikaelea juu ya uso wa maji. ..
Itengeneze tabia ya Mungu ndani yako. Shalom, Nakusalimu katika jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo Karibu tuyatafakari maneno ya uzima. “Mwenye jukumu na wajibu wa kufanya tabia ya Mungu iwe ndani yako yaani uwe kama Mungu jinsi alivyo ni wewe” “Kupokea Roho Mtakatifu haimaanishi unayo tabia ya Mungu ndani yako, kuwa na karama ikiwa ni ..
ITAFAKARI HEKIMA YA MUNGU KATIKA UUMBAJI WAKE. Jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo Libarikiwe siku zote. Karibu tuongeze maarifa ya kumjua Mungu. Na leo tutajifunza umuhimu wa kutafakari hekima ya Mungu ipatikanayo katika uumbaji wake. Hekima ni nini? Hekima ni Neno pana ambalo linajumuisha elimu au ujuzi/akili au uwezo wa kupambanua, kuhukumu, na kufanya maamuzi ..