Category : Biblia kwa kina

Nakusalimu katika jina la mwokozi wetu Yesu Kristo. Karibu tuyatafakari maneno ya uzima. Somo hili ni muhimu kwako wewe mshirika unayeudhuria  kanisani kila jumapili na wewe pia muhudumu wa Madhabahuni ikiwa ni Shemasi,Mchungaji,Nabii muimbaji wa kwaya nk. Watu wengi leo hii wanakwenda kanisani na wanatumika madhabahuni wengine lakini hawatambui ni nani wanayemtumikia na anataka nini?. ..

Read more

Nakusalimu katika jina la mwokozi wetu wetu Yesu Kristo karibu tuyatafakari maneno ya uzima ya Bwana wetu Yesu. Ufunuo 3:19 “Wote niwapendao mimi nawakemea, na kuwarudi; basi uwe na bidii, ukatubu.” Kama Mkristo uliyeokolewa/kukombolewa kwa damu ya thamani ya Yesu Kristo maana yake wewe umefanyika kuwa ni mwana wa Mungu. Yeye ni Baba kwako na ..

Read more

Nakusalimu katika jina la mwokozi wetu Yesu Kristo karibu tuyatafakari maneno ya uzima. Ukianza kusoma kitabu cha Mathayo 24:3 utaona wanafunzi wake Yesu walikuwa wakimuuliza Bwana Yesu mambo hayo aliowaambia yatakuwa lini maana yake yatatokea kipindi gani au wakati gani?, lakini hatuoni wanaishia hapo tu wanamuuliza tena kuwa dalili ya kurudi kwake Bwana Yesu au ..

Read more

Nakusalimu katika jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo. Karibu tujifunze maneno ya uzima ya Mwokozi wetu Yesu Kristo. Luka 12:50“Lakini nina ubatizo unipasao kubatiziwa, nami nina dhiki kama nini hata utimizwe! “ Umewahi kulitafakari jambo hili kwa undani zaidi kuhusu ubatizo aliobatizwa Yesu Kristo pamoja kikombe alichokinywea Yesu Kristo? Wengi wetu huwa tunaishia tu pale ..

Read more

Mungu alimpa maagizo Musa atengeneze nyoka wa Shaba, ili kila mtu alieumwa na wale nyoka wa moto akimtazama huyo nyoka apone. Kama maandiko yanavyosena… Lakini Mungu hakuwahi kusema kwamba Wana wa Israeli kuwa muda au mazingira yeyote yale watakapo patwa na magumu au shida basi ndo wamsimamishe nyoka wa shaba wamtazame ili wapone, hakuwahi kusema ..

Read more

Nakusalimu katika jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo.Karibu tuyatafakari maneno ya uzima ya Bwana wetu Yesu Kristo. Iko hatari kubwa sana katika nyakati hizi za Mwisho na kama tusipokuwa makini tutajikuta tunafanya kazi ya kuchosha. Na kwasababu ya upofu tukaona ni kawaida tu. Wakristo wengi sana wanavitwaa viungo vya Kristo na kuvifanya kuwa vya kahaba(kuviungamanisha ..

Read more

Nakusalimu katika jina la mwokozi wetu Yesu Kristo karibu tujifunze maneno ya uzima?. Umewahi kujiuliza hili jambo na kutafakari, kauli hii aliyoizungumza Bwana Yesu? huenda huwa tunaiosoma tu mara kwa mara pasipo kuitafakari kwa kina…Leo tutakwenda kutazama kwa undani ni kwa namna gani watendakazi ni wachache. Mathayo 9:36-38” Na alipowaona makutano, aliwahurumia, kwa sababu walikuwa ..

Read more

Bwana Yesu asifiwe,  Nakusalimu katika jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo Karibu tujifunze maneno ya uzima. Kuna jambo kubwa sana ambalo Mungu alikuwa akiwafundisha wana wa Israeli nyuma ya hili andiko,Na kwa neema za Bwana tutakwenda kuona na sisi kujifunza pia. kumbukumbu 22:6-7 6“Kiota cha ndege kikitukia kuwa mbele yako njiani, katika mti wo wote, au ..

Read more

Nakusalimu katika jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo alie Bwana na mwokozi wetu. Karibu tuyatafakari maneno ya mwokozi wetu. Wakristo wengi tunapenda kusikia Mungu akituahidia ahadi mbali mbali katika maisha yetu, na tunatamani tupokee tu bila kutaka kujiandaa ama kukubaliana na matengenezo/gharama za ahadi hiyo. Kama vile mzazi anavyomuahidia mtoto wake kumfungulia biashara Fulani. Kwa ..

Read more