Category : Maswali ya Biblia

Nakusalimu katika jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo.  Pengine umewahi kujiuliza maandiko yanaposema kuwa “Eliya nae alikuwa ni mwanadamu na mwenye tabia moja na sisi lakini aliomba kwa BIDII…nk” ni swali ambalo Wakristo wengi wanatamani kufahamu ni kwa namna gani Eliaya aliomba kwa bidii? Tunafahamu tu maandiko yanasema kuwa Aliomba kwa bidii lakini ni kwa ..

Read more

Karibu tujifunze maneno ya uzima. DHAMBI,  Ni yale mambo yaliyokuwa yanafanyika kinyume na torati au sheria ya Mungu. Ikimaanisha kuwa mtu yeyote aliyekuwa ameivunja hiyo sheria ni sawa na kutenda dhambi au ameiasi Sheria. Ilijulikana kuwa mtu huyo kabla hajaiasi Sheria alikuwa anajua kabisa kuwa jambo Hilo lilisha hakikishwa na kuonekana kuwa ni kosa na ..

Read more

Karibu mpendwa katika Bwana tujifunze maneno ya uzima yatokayo kwa Bwana wetu yesu kristo. Shetani ni nani? shetani ni malaika aliyetupwa kutoka mbinguni Hadi duniani baada ya kumuasi Bwana Mungu. Japo! duniani Kuna udanganyifu mkubwa ambapo watu wanadhani kuwa shetani anazo pembe za kutisha, anaishi maeneo ya makaburini na wengine hudhania ya kuwa shetani ni ..

Read more

Bwana Yesu asifiwe karibu katika wasaa wa kujifunza neno la Mungu Malaika hawana jinsia yeyote, japo kuna baadhi ya mafundisho inasemekana kuwa kuna malaika wa kike lakini jambo hili hakuna ukweli wowote, hata katika maandiko hakuna uthibitisho wa jambo hili Lakini jambo hili la jinsia lilianza kwa wazazi wetu adam na hawa, hapa ndipo iljulikana ..

Read more

Mhubiri 11:1 [1]Tupa chakula chako usoni pa maji; Maana utakiona baada ya siku nyingi. Mwandishi wa kitabu hiki,  alitumia neno tupa na si tunza au hifadhi lakini tunaona anasema tupa chakula chako usoni pa maji, hakuishia kusema tupa chakula chako lakini anaendelea kwa kusema hicho chakula akitupe baharini, kama tunavyojua kitu chochote kama kikitupwa kwenye ..

Read more

  Bwana Yesu asifiwe, Karibu tujifunze maneno ya Mungu na kukumbushana mambo mbalimbali ambayo pengine tulishawahi kujifunza kabla. Leo tutaona umuhimu wa ubatizo. Ni muhimu sana mtu kupata ubatizo na shetani anajua siri iliyopo katika ubatizo na hivyo amekuwa akizuia watu wengi wasiijue. Wana wa Israeli walipokuwa wanatoka Misri, tunaona farao na majeshi yake walikuwa ..

Read more

  Kabla hatujajua maana ya ubatizo,, kwanza fikiria ukiulizwa ‘kuzamisha ni nini’ utajibuje? Naamini utasema ni kitendo cha kutosa kitu chochote ndani ya kimiminika bila kubakiza sehemu yoyote nje. Mfano, meli ikipata ajali na kushuka chini ya bahari basi tutasema meli imezama. Hata mtu akichukua taka na kuzitupa chini ya shimo alochimba basi tunasema kazizamisha ..

Read more