Sabato maana yake ni PUMZIKO. Na pumziko la Mungu lilikuja katika siku ya saba, baada ya kumaliza uumbaji wake kwa siku sita. Hivyo akaibariki, akasema siku hiyo ni Sabato yangu. Lakini miaka mingi mbeleni, alipokuja kulichagua taifa moja teule, akawaagiza kuwa siku hiyo ya saba itakuwa ni siku ya kupumzika kwao, Na taifa lenyewe ndio ..