
Kwa kawaida mtu akiumia, pengine kajikata au kapigwa, ni ngumu sana kukaa bila kutokuonyesha Meno yake. Kwasababu kuna uhusiano mkubwa sana katika maumivu na meno ya mwanadamu, kama vile ilivyo uchungu na machozi. Sasa kile kitendo cha mtu kupata maumivu hayo makali mpaka kufikia hatua ya meno kukutana Pamoja, na kuyapekecha pekecha, huko ndiko kusaga ..