Hili ni Neno linalomaanisha mashitaka, au malalamiko, ambayo lengo lake ni kufikishwa mbele ya mahakama ili kutolewa hukumu. Kwamfano, pale mfanyakazi wako, amekuibia, au amekutukana, au amekuharibia mali zako na wewe unataka kumpeleka mahakamani kwa tendo hilo, ili awajibishwe. Sasa hilo shitaka ambalo unampelekea mahakamani kwa jina lingine ndio linaloitwa Daawa. Neno hili katika agano ..