Archives : August-2024

Shalom. Swali hili halikuanza kuwatatiza watu Leo, hata Zamani hizo kipindi Cha Yesu Kristo duniani liliulizwa pia. Tusome.. Luka 13:23 ″Mtu mmoja akamwuliza, Je! Bwana, watu wanaookolewa ni wachache? Akawaambia, 24 Jitahidini kuingia katika MLANGO ULIO MWEMBAMBA, kwa maana nawaambia ya kwamba wengi watataka kuingia, wasiweze. 25 Wakati mwenye nyumba atakaposimama na kuufunga mlango, nanyi ..

Read more

  Kuna maswali ambayo yamekuwa  yanaulizwa kuhusu zaka, haya ni maswali 8 ambayo yanaulizwa sana 1.Nani anayetakiwa kutoa fungu la kumi? 2.Fungu la kumi linatolewa katika mtaji au faida? 3.Zawadi tunazopokea tunapaswa kuzitolea fungu la kumi? 4.Fedha ya mkopo inatakuwa kutolewa fungu la kumi? 5.Ikiwa mshahara wangu ni milioni moja lakini kuna makato ya serikali ..

Read more

  Je sadaka ya moyo ipoje? Tusome, Walawi 22:21 “Na mtu awaye yote atakayemtolea BWANA dhabihu katika sadaka za amani, ili kuondoa nadhiri, au SADAKA YA MOYO WA KUPENDA, katika ng’ombe, au katika kondoo, atakuwa mkamilifu, apate kukubaliwa; pasiwe na kilema ndani yake cho chote”. Sadaka ya moyo wa kupenda ni sadaka iliyotolewa na wana ..

Read more

Shalom, nakusalimu katika jina la mwokozi wetu Yesu karibu tuyatafakari maneno ya uzima ya mwokozi wetu Yesu Kristo.   Katika biblia kila habari tunayoisoma inafundhisho kubwa sana nyuma yake ambalo Yesu Kristo anatamani sana tulifahamu na tujifunze kupitia hao ili na sisi tusije tukarudia makosa yale yale yaliyofanywa na wao hapo mwanzo.   Hivyo kila ..

Read more

Nakusalimu katika jina la mwokozi wetu Yesu Kristo karibu tuyatafakari maneno ya uzima.   Kuna mambo mengi kabla hujampa Yesu Kristo maisha yako yalikuwa ni ya muhimu naya msingi sana. Kiasi kwamba uliona ni sehemu ya maisha yako. ulijua wakati mwingine ukaaminishwa/nakuamini kuwa hayo ndio yanayoweza kukusaidia.   Mambo ambayo haikuwa rahisi kuyaacha na ulikuwa ..

Read more

Nakusalimu katika jina la mwokozi wetu Yesu Kristo karibu tuyatafakari maneno ya uzima.   Watu wengi sana wanafikiri kujulikana na Mungu ni kwenda kanisani kila siku,kufanya matendo mazuri, kuomba kila siku, kuwaombea watu na watu kupona,kutoa mapepo,kunena kwa lugha,kuona maono na kusikia sauti ya Mungu nk. Mambo haya ni mazuri lakini hayakufanyi kujulikana sana na ..

Read more