Archives : September-2024

  Bwana Yesu asifiwe, Karibu tujifunze maneno ya Mungu na kukumbushana mambo mbalimbali ambayo pengine tulishawahi kujifunza kabla. Leo tutaona umuhimu wa ubatizo. Ni muhimu sana mtu kupata ubatizo na shetani anajua siri iliyopo katika ubatizo na hivyo amekuwa akizuia watu wengi wasiijue. Wana wa Israeli walipokuwa wanatoka Misri, tunaona farao na majeshi yake walikuwa ..

Read more

Shalom.. Je unajua kuwa ubatizo unaweza kuua lakini pia unaweza kuokoa? Kuna jambo kubwa limejificha katika ubatizo lakini kama watu wangelijua jambo hilo bila shaka wangefanya bidii kuutafuta ubatizo. tusome vifungu vifuatavyo 1 Petro 3:20 “watu wasiotii hapo zamani, uvumilivu wa Mungu ulipokuwa ukingoja, siku za Nuhu, safina ilipokuwa ikitengenezwa; ambamo ndani yake wachache, yaani, ..

Read more

Waebrania 10:25“wala tusiache kukusanyika pamoja, kama ilivyo desturi ya wengine; bali tuonyane; na kuzidi kufanya hivyo, kwa kadiri mwonavyo siku ile kuwa inakaribia.” Nakusalimu katika jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo.  Karibu tuyatafakari maneno ya uzima. Umewahi kujiuliza vyema na kutafakari kwa kina swali hili..” kwa nini ninakwenda kanisani kila siku jumapili, Jumatano, ijumaa nk” ..

Read more

Jibu: ndiyo ni halali kabisa kutoa cheti kwa watu walioana, kwa sababu ukiachana kutoa viapo vyao, ni lazima pia wawe na ushahidi kuwa kweli wamekubaliana kuwa kitu kimoja Zaidi sana inasaidia hata ikitokea shida naona yao inakuwa vyepesi kutatulika kwa sababu uthibitisho upo ndiyo maana kuna umuhimu mkubwa sana, wa wanandoa kufata taratibu zote kabla ..

Read more

Bwana Yesu asifiwe karibu katika kujifunza Neno la Mungu . Mathayo 16:24 [24]Wakati huo Yesu aliwaambia wanafunzi wake, Mtu ye yote akitaka kunifuata, na ajikane mwenyewe, ajitwike msalaba wake, anifuate. Kujikana ambako Bwana Yesu alikuwa anakuzungimzia ni kukataa matamanio yako, maana ya Neno lenyewe kujikana ni kukataa matamanio yako au mipango yako na kuielekeza sehemu ..

Read more

Swali: Je kujihusisha na michezo mfano kushabikia Mpira au kushabikia timu fulani ni makosa Jibu: Neno la Mungu linasema, tusome Wafilipi 2: 3 “Msitende neno lo lote kwa kushindana wala kwa majivuno; bali kwa unyenyekevu, kila mtu na amhesabu mwenziwe kuwa bora kuliko nafsi yake’’ Yaani jambo lolote lile ambalo kama likifanyika na kupelekea malumbano ..

Read more

Shalom mwana wa Mungu karibu tujifunze neno la Mungu ambalo ni maji ya uzima. NI KIUMBE GANI KINACHOSUJUDIWA HAPO KATIKA WARUMI 1:25? Warumi 1:25 inasema”kwa maana waliibadili kweli ya Mungu kuwa uongo wakakisujudia kiumbe na kukiabudu badala ya muumba anayehimidiwa milele” Amina. Kiumbe ni kitu chochote chenye uhai kama vile wanyama na mimea. Maandiko yaliposema ..

Read more