Archives : October-2024

Karibu mpendwa tujifunze maneno ya uzima yatokayo kwa Bwana wetu yesu kristo. Je? Wanadamu wa kwanza aliowaumba Mungu walikuwa wana namna gani? Walikuwa wa rangi gani? Ni vyema tufahamu maandiko hayajaeleza shemeu yoyote kuwa mtu wa kwanza alikuwa mzungu,mwafrika,Mwarabu nk lakini aliumba watu wawili pale Edeni ambao ni Adamu na Hawa nao walikuwa ni jamii ..

Read more

Nakusalimu katika jina la mwokozi wetu Yesu Kristo. Andiko hili linamaanisha nini kusema“usimuache rafiki yako wala rafiki ya baba yako….” Tusome mstari huu… Mithali 27:10 “Usimwache rafiki yako mwenyewe, wala rafiki ya baba yako, Wala usiende nyumbani mwa ndugu yako siku ya msiba wako. Afadhali jirani aliye karibu kuliko ndugu aliye mbali. Andiko hili linatufundisha ..

Read more

Nakusalimu katika Jina la mwokozi wetu Yesu Kristo Karibu tuyatafakari maneno y uzima ya mwokozi wetu. Kuungama ni kukubali au kukiri jambo wazi wazi pasipo kupindisha wala kusema uongo. Mfano Kama mtu mwenye dhambi ambae amedhamiria kumpa maisha yake Yesu Kristo kuwa ni Bwana na mwokozi wake. Kwa kutoka katika giza na kuingia Nuruni huyo ..

Read more

Nakusalimu katika jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo Karibu tuyatafakari maneno ya uzima. Kama watu tuliozaliwa mara ya pili ni wazi kuwa kuna mambo mengi tumewahi kuyafanya au kufanyiwa kabla hatujampokea Yesu Kristo. Mengine huenda yaliyawahi kutokea tukiwa katika wokovu kwa kuanguka katika dhambi fulani na nk. Sasa maandiko yanatusisitiza kama wana wa Mungu tusiyakumbuke ..

Read more

Uchawi ni jambo lolote linalofanyika nje na nguvu za Mungu, kwa sababu hakuna nguvu nyingine inayofanyika nje na nguvu za Mungu zaidi ya shetani.. Na uchawi umebeba mambo mengi, baadhi yake ni kuloga, kuagua, kutazama utabiri wa nyota, kubashiri, kusihiri, kuabudu sanamu, mambo haya huwaaminisha watu kuwa wanaweza kupata msaada tofaututi na nguvu za Mungu ..

Read more

Shalom nakusalimu katika jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo.  Je? Mtu mwenye kujipendekeza ni mtu wa namna gani? Mithali 29:5Mwenye kujipendekeza kwa jirani yake, Hutandika wavu ili kuitega miguu yake’. Kabla kwenda kuutazama vizuri mstari huu ni vizuri tufahamu nini maana ya kujipendekeza? Kujipendekeza. Ni kitendo cha mtu kumsifia mtu mwingine kwa sifa nyingi ambazo ..

Read more

FAHAMU MAANA YA MITHALI 29:25. Nakusalimu katika Jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo.  Maandiko yanasema.. Mithali 29:25”Kuwaogopa wanadamu huleta mtego;Bali amtumainiye BWANA atakuwa salama.” Je kuwaogopa wanadamu kunaletaje mtego? Na ni mtego gani huo unaweza ukampata mtu kama akiwaogopa wanadamu? Mambo mengi yanayafanya watu kwa hofu ya kuwaogopa watu wanaowazunguka. Na kuwahofu kuwa itakuwaje nisipofanya ..

Read more