Je! Utoaji wako unamgusa Mungu?. SEHEMU YA PILI 02. Nakusalimu katika Jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo.. karibu katika mwendelezo wa somo hili Muhimu sana kwa Mkristo yeyote ulimwenguni. Katika sehemu ya kwanza tulijifunza kanuni moja ambayo ni kanuni ya umiliki.. “Mungu hawezi akakwambia utoe kitu ikiwa humiliki kitu” yaani hakuna umiliki hakuna utoaji. Sasa ..
Archives : February-2025
Ni tunda lenye mbegu ndogondogo nyingi. Ni tunda linalotumika linawakulisha uzuri, ubora, mafaniko ya mtu au nchi. Tunaweza kujifunza zaidi kutoka katika maneno haya ya uzima. Kumbukumbu 8:6 “Nawe uzishike amri za Bwana, Mungu wako, upate kwenda katika njia zake, na kumcha. 7 Kwa kuwa Bwana, Mungu wako, yuakuingiza katika nchi nzuri, nchi yenye vijito ..
Unatambua uko katika nyakati gani Nakusalimu katika Jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo Karibu tuyatafakari maneno ya uzima. Wakristo wengi wanaishi pasipo kutambua wapo katika nyakati gani au majira gani!, kiasi kwamba wamejisahau na wengine hawajui kabisa wanaishi katika nyakati za hatari kiasi gani!, dalili nyingi za kurudi kwa Bwana Yesu zimeshaonekana nyakati zile zilizotabiliwa ..