Archives : October-2025

NA HAPO PATAKUWA NA NJIA KUU Isaya 35: 8 “Na hapo patakuwa na NJIA KUU, na njia, NAYO ITAITWA, NJIA YA UTAKATIFU; wasio safi hawatapita juu yake; bali itakuwa kwa ajili ya watu hao; WASAFIRIO, WAJAPOKUWA WAJINGA, HAWATAPOTEA KATIKA NJIA HIYO”. Jina la Bwana na Mwokozi wetu YESU KRISTO libarikiwe daima. Karibu katika mafundisho ya ..

Read more

MWENYE HEKIMA ASIJISIFU KWASABABU YA HEKIMA YAKE. Je! Unajisifia nini ndani ya moyo wako? Jina la Bwana Yesu libarikiwe ndugu yangu..Karibu tuyatafakari kwa pamoja maneno ya uzima, Maneno ya Mungu yanasema.. “.. Mwenye hekima asijisifu kwa sababu ya hekima yake, wala mwenye nguvu asijisifu kwa sababu ya nguvu zake, wala tajiri asijisifu kwa sababu ya ..

Read more

CHANZO CHA MATATIZO Jina kuu la Bwana wetu Yesu Kristo libarikiwe. karibu tujifunze Neno la Mungu ambalo ndio taa iongozayo njia zetu. Biblia inasema “Mjue sana Mungu ili uwe na Amani (Ayubu 22:21)”..Siku zote ukijua sababu ya jambo Fulani basi unapata amani. Amani inakuja baada ya kujua sababu ya jambo Fulani. Leo tutajifunza juu ya ..

Read more

Usikimbilie kutafuta msaada kwa miungu. Jambo linalomchukiza Mungu sana ni pale watoto wake wanapokimbilia kutafuta msaada kwa miungu wakati yeye yupo na hashindwi na jambo lolote. Na miungu siyo tu kwenda kwa waganga wa kienyeji, au kwa manabii wa uongo.. bali hata kwa watu wa kawaida…ukiwategemea sana wanakuwa miungu yako na mwisho wa siku Mungu ..

Read more

ADUI AKIONA AMESHINDWA ANAKUJA KWA HILA. Si kila wakati ibilisi atakuja kama mpingamizi, au mharibifu, hapana, lengo lake litakuwa ni hilo ndio, lakini akijua hawezi tena kuja moja kwa moja, atakuja kwa ujanja wa kujionyesha ameshindwa wewe una nguvu nyingi, atajiweka chini yako, ajifanye kuwa yeye siku zote ni mnyonge tu.. lakini kumbe ameshakuweza. Ndicho ..

Read more