Kifo ni Hali ya kutoka uhai ndani kwa kiumbe chochote , na kinaweza kumtokea Mwanadamu,mnyama, mmea, kwa kuwa ndani yao umo uhai basi vinapotokwa na huo uhai vinakufa.. Mauti ni kifo pia ijapokuwa mauti ipo kwa wanadamu, kwasababu hakuna uhalisia wowote kusema mti umekumbwa na mauti, au paka amekumbwa na mauti, bali sentensi kamili ..
Author : magdalena kessy
Shalom,karibu tujifunze Neno la Mungu Mtakatifu Ritta ambaye kwa kanisa katoliki anajulikana kama mwombezi wa mambo yasiyowezekana, mfanya miujiza.. Mama huyu alizaliwa 1381 Katika mji unaoitwa kashia kwenye taifa la Italy, mama huyu aliolewa akiwa mwenye umri mdogo, lakini alikuja kufiwa na mume wake na Watoto wake wawili ndipo akajiunga na utawa, ingawaje alipitia changamoto ..
Nakusalimu katika jina tukufu, Jina la Bwana wetu YESU KRISTO. Mkuu wa uzima. Karibu tujifunze Neno la Mungu.. Katika agano la kale, Mungu alimwagiza Musa ajenge Hema iwe mahali pa Mungu kushuka na kusema na wana wa Israeli(Kutoka 25:1-9) hema hiyo ambayo iliitwa hema la kukutania ilikuwa ni ya kuhama hama kulingana na safari ..
JIBU: Hakuna utofauti wowote kati ya Roho Mtakatifu na Roho Takatifu, hilo ni neno moja tu isipokuwa inategemeana kulingana na mahali neno lilipotumika, Roho Mtakatifu anapotumika ndani yetu, anapozungumza na sisi, na kutuongoza, na kututia katika kweli yote..anachukua nafasi ya mtu wa pili ndani yetu, anakuwa ni kama vile mwalimu na mwanafunzi wake, au ..
Ili tuelewe vizuri, kwanza tufahamu kuwa Mungu anaweza kuzungumza na mtu moja kwa moja, au akatumia malaika wake kumpa mtu ujumbe au akamtumia mwanadamu…na pia wakati mwingine hutumia hata wanyama na vitu, kwa mfano kama wewe ni msomaji wa biblia utakumbuka ile habari ya Balaamu, wakati alikuwa anaenda kuwalaani wana wa Israeli, Mungu alimtokea ..
Yohana aliwabatiza watu kwa maji lakini alisema atakapokuja Bwana Yesu atawabatiza kwa Roho Mtakatifu na kwa moto, huu ubatizo wa moto maana yake ni nini? Na sote tunatambua kuwa moto hufanya kazi kuu tatu. Ya kwanza ni: Kuunguza na kuteketeza vitu visivyofaa kama vile takataka. Hapa ni pale Mungu anapozichoma dhambi zote zilizo ndani ya ..
Shalom, Karibu tujifunze Neno la Mungu, Leo kwa Neema za Bwana tutakwenda kuangalia ni namna gani tunaweza kushinda au kuleta majibu ya haraka pale tunapoitumia damu ya Yesu Kristo, Kwasababu watu wengi hasa waliookoka wamekuwa wakiita sana damu ya Yesu katika mambo yao mengi, pengine hata kwenye kuomba kwao lakini majibu ya kile walichokitarajia ..
Je mtu akiwa hana ubatizo sahihi, hawezi kuwa na Roho Mtakatifu? JIBU, Kwanza kabisa tutambue jinsi Roho Mtakatifu anavyofanya kazi, Mungu anapomtafuta mtu mwenye dhambi humtuma Roho Mtakatifu kwenda kumshawishi mtu huyo na hapo ndipo mtu huanza kusikia hatia moyoni mwake na kisha huamua kutubu. Kwa hiyo Roho Mtakatifu hufanya kazi ya kumshawishi mtu ..
Shalom… Swali: Naomba kuuliza, je ni kweli ubatizo wa maji hatuuhitaji tena, tunaotakiwa kuwa nao ni wa Roho mtakatifu peke yake ambao Yohana mbatizaji aliuzungumzia katika Mathayo 3:11? “Kweli mimi nawabatiza kwa maji kwa ajili ya toba; bali yeye ajaye nyuma yangu ana nguvu kuliko mimi, wala sistahili hata kuvichukua viatu vyake; yeye atawabatiza kwa ..
Bwana Yesu asifiwe, Karibu tujifunze maneno ya Mungu na kukumbushana mambo mbalimbali ambayo pengine tulishawahi kujifunza kabla. Leo tutaona umuhimu wa ubatizo. Ni muhimu sana mtu kupata ubatizo na shetani anajua siri iliyopo katika ubatizo na hivyo amekuwa akizuia watu wengi wasiijue. Wana wa Israeli walipokuwa wanatoka Misri, tunaona farao na majeshi yake walikuwa ..