Jibu :Hairuhusiwi kupokea pesa kutoka kwa mtu wa namna hiyo kwa kuwa katika ulimwengu wa Roho inaonekana na kuthibitika kuwa umeshiriki kufanya kazi haramu iliyopelekea kupata hicho kiasi cha pesa. Tunaweza kurejea maneno ya uzima ambayo yatatupatia mwangaza juu ya hii ibada. Luka 6:43 “Kwa maana hakuna mti mzuri uzaao matunda mabaya, wala mti mbaya ..
Author : Rehema Jonathan
Nakusalimu kupitia jina la Mwokozi Hili limekuwa swali kwa kila mwamini, kwanini tunatubu kila siku, na wakati Kristo mwokozi wetu alizibeba dhambi zetu zote, Tusome 1Petro 2:24 “Yeye mwenyewe alizichukua dhambi zetu katika mwili wake juu ya mti, tukiwa wafu kwa mambo ya dhambi, tuwe hai kwa mambo ya haki; na kwa kupigwa kwake mliponywa”. ..
Shalom karibu tena katika kujinza neno la Mungu Wagalatia 2:3 “Lakini Tito aliyekuwa pamoja nami, naye ni Myunani, hakulazimishwa kutahiriwa. 4 BALI KWA AJILI YA NDUGU ZA UONGO WALIOINGIZWA KWA SIRI; AMBAO WALIINGIA KWA SIRI ILI KUUPELELEZA UHURU WETU TULIO NAO KATIKA KRISTO YESU, ILI WATUTIE UTUMWANI; 5 ambao hata saa moja hatukujitia chini yao, ..
Jina la Bwana libarikiwe karibu tuweze kujifunza tena Neno la Mungu litupalo uzima ndani yetu… Tusome andiko hilo ili tupate maana ya mstari huo Zaburi 38:10 “Moyo wangu unapwita-pwita, Nguvu zangu zimeniacha; Nuru ya macho yangu nayo imeniondoka”. Maana ya neno “moyo wangu unapwita pwita, ni sawa na kusema moyo wangu unauma hivyo maana ya ..
Turejee neno la Bwana ili tupate maana iliyo Bora zaidi. Isaya 66:3 “Yeye achinjaye ng’ombe ni kama yeye amwuaye mtu; na yeye atoaye dhabihu ya mwana-kondoo ni kama yeye avunjaye shingo ya mbwa; na yeye atoaye matoleo ni kama yeye atoaye damu ya nguruwe; na yeye afukizaye uvumba ni kama yeye abarikiye sanamu; naam, wamezichagua ..
Shalom mwana wa Mungu karibu tujifunze maneno ya uzima yatokayo kwa mwokozi wetu Yesu Kristo. Neno la Mungu linaonyesha kuwa Mungu ni nabii ikimaanisha kuwa ni kiongozi anayesimamia na kuliendesha kundi kubwa la watu wenye misimamo na mitazamo tofauti kulingana na lugha, tabia na mwenendo.hata kwa Mungu wetu itoshe kusema kuwa yeye ni nabii kwakuwa ..
Tusome Kumbukumbu 13:6 “Atakapokushawishi kwa siri ndugu yako, mwana wa mamaako, au mwana wako, au binti yako, au mke wa kifuani mwako, au rafiki yako aliye kama moyo wako, akikuambia, Twende tukaabudu miungu mingine usiyoijua wewe wala baba zako; 7 katika miungu ya mataifa yaliyo kando-kando yenu karibu nawe au mbali nawe, tokea ncha moja ..
Shalom karibu tujifunze Tusome Mathayo 23:11 “Naye aliye mkubwa wenu atakuwa mtumishi wenu. 12 Na ye yote atakayejikweza, atadhiliwa; na ye yote atakayejidhili, atakwezwa” Maana ya kudhili ni kunyenyekea au kuchuka chini, au kushushwa chini Mathayo 23:11 “Naye aliye mkubwa wenu atakuwa mtumishi wenu. 12 Na ye yote atakayejikweza, atadhiliwa; na ye yote atakayejidhili, atakwezwa” ..
Je dia ni nini kibiblia Maana ya neno dia, kwa maana nyingine linatafsirika kama “fidia” tusome kifungu hicho hili tuelewe vizuri nini maana halisi ya neno hilo Mithali 13:8 “Dia ya nafsi ya mtu ni utajiri wake; Bali mtu maskini hasikii ogofyo lo lote”. Kwahiyo hapo tunaweza kusema “faida ya nafsi ya mtu ni utajiri ..
Shalom mpendwa karibu tujifunze maneno ya uzima yatokayo kwa Bwana wetu Yesu Kristo. Turejee maneno ya Bwana kutoka katika kitabu hiki ili tuelewe zaidi neno linasema. 2Wakorintho 7:2 “Tupeni nafasi mioyoni mwenu. Hatukumdhulumu mtu ye yote, wala kumharibu mtu, wala kumkaramkia mtu. 3 Sisemi neno hilo ili niwahukumu ninyi kuwa na hatia; kwa maana nimetangulia ..