Category : Biblia kwa kina

Maono yako ni nini katika mwaka mpya 2025 Nakusalimu katika Jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo Karibu tuongeze maarifa zaidi. Ni muhimu kwanza tukaelewa nini maana ya maono katika Muktadha wa kawaida kabisa. Maono ni nini? Ni dira au ndoto kuhusu maisha yako au malengo yako ya baadae. Tunaweza kusema.. ni muelekeo wa kimkakati unaolenga ..

Read more

Nakusalimu katika Jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo Karibu tuyatafakari maneno ya uzima. Watu wengi wana bidii katika maombi wengine wanafunga kwa kipindi kirefu lakini mwisho wa siku hawaoni matokeo katika kile walichokuwa wanakiomba. Mwisho inapelekea kukata tamaa na kuona kama Mungu hawasikii ama yupo mbali na wakati mwingine wanahisi kuwa huenda wamekosea mahali fulani ..

Read more

Nakusalimu katika Jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo Karibu tujifunze maneno ya uzima ya mwokozi wetu. Kama Mkristo ni muhimu sana kutambua hatima yako ni nini katika Ukristo ulionao. Ukishindwa kutambua hatima yako ni nini utajikuta unakosa shabaha juu ya kile Mungu anachotaka kukiona kwako. Utaelekekeza matumaini na nguvu zako nyingi na muda wako mwingi ..

Read more

  Yeremia 1:11 Tena neno la BWANA likanijia, kusema, Yeremia, waona nini? Nikasema, Naona UFITO WA MLOZI. 12 Ndipo BWANA akaniambia, UMEONA VEMA, Kwa maana ninaliangalia neno langu, ili nilitimize. Shalom mtu wa Mungu. Karibu tujifunze biblia. Kabla hatujaenda ndani kuangalia ujumbe wa leo, tuangalie kwanza maana ya huo mti wa mlozi alioonyweshwa nabii Yeremia ..

Read more

Nakusalimu katika Jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo karibu tuyatafakari maneno ya uzima. Ni jambo la muhimu sana kulitambua hili na kujitathimini. Ipo tofauti kubwa sana kati ya kumcha Mungu na kumtumikia Mungu. Bahati mbaya sana watu wanasema wanamcha Mungu kumbe wanamtumikia Mungu tu wala hawamchi. Na siku ile Bwana Yesu hatawatambua kabisa. Tutaangalia mtu ..

Read more

Nakusalimu katika jina la mwokoziwetu Yesu Kristo Karibu tuyatafakari maneno ya uzima ya mwokozi wetu Yesu Kristo. Tulijifunza hapo nyuma kidogo juu ya somo linalosema ”fahamu utendaji kazi wa shetani katika kuwaangusha watoto wa Mungu” kama hukufanikiwa kulisoma nakushauri ulipitie hata kama utakuwa umeshalisoma lipitie tena litakuongezea kitu kikubwa. Katika somo hili la leo tutakwenda ..

Read more

Nakusalimu katika Jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo Karibu tuyatafakari maneno ya uzima. Ni wazi kila mtu katika huu ulimwengu hasa kwa jamii ya watu wanaomwamini Yesu Kristo wanatamani kupendwa na si kwamba Mungu hawapendi la! Mungu hakuna mtu ambae anamchukia hata   mpagani anampenda! Na ndio maana anataka aokoke asiende katika jehanum ya moto. Lakini ..

Read more

Nakusalimu katika Jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo. Karibu tuyatafakari maneno ya uzima. Katika kitabu cha Yona sura kwanza kabisa tunaona neno la Mungu linamjia Yona na kumwambia aende Ninawi akauhubirie mji ule uache uovu wake yaani watu wa mji ule watubu wamrudie Mungu. Lakini Yona hakufanya hivyo. Matokeo yake akakimbilia kwenda tarshihi na asiende ..

Read more